Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

na yeye atajulikanaje kwamba yupo??? hivi hamjamuelewa tu huyu bwana. haya. ni kada wa ccm. ni lawyer (amesoma). ni msukuma. ujumbe umefika ikulu. response inasubiliwa. mjini hapo jamaa kacheza na fursa.
 
Watanzania kama mnaona kuweka vyeti original certificates hadharani no Rahisi anzisheni kampeni aanza cheti changu originala hiki hapaaa naomba cha makonda tuone chako atakae weza kuweka picha ya cheti chake hapaaaa original basi tutaamini hayo myasemayo
 
Chama kinavihiyo wengi sana, kwenye mabadiliko ya kanuni hili litazamwe. Hutu mtu (mdogo wa Gwajima) naye anahitaji kufufuliwa, Mimi naamini ni msukule.
 
Issue sio madawa ni vyeti,madawa na vyeti ni vitu viwili tofauti
 
Kuna mtu anamjua kasema hivi "boya huyo namjua alikuwa katibu wa CCM Nzega na sio ndugu wa Gwajima, alihamishiwa Singida. Na alikuwa antembea na mke wa mtu anaitwa Mary.......!!!"
Kama nnavyokujua wewe m.bakaji mtaa wa kwa alimaua hahahaa si mnajifanya mnajua watu....
 
Au huyu ndiye mgeni tika Koromije amekata kamba?
 

Hahahahaha

Huyu Jamaa anaitwa Joshua Chiwanga nimesoma naye kwa nimjuavyo mimi wala hana undugu na Gwajima...Labda undugu wa kupewa ili ifanyike Press Conference ya kumtetea Gwajima.....

Hahahaha Joshua naona umekuwa mpunga ndugu yangu....Tukumbukane aisee!
Labda nae kapita njia ileile ya p.christian.
 
Hayo ya gwajima hatuna haja nayo ni maswala ya imani atuingiliii sisi tunataka vyetu akionyesha tutakaa kimya
 
kumbe ni watoto wa baba yake mdogo? halafu inaonekana wana ugomvi wa kifamilia hawa, wana bifu na familia ya gwajima. namshauri gwajimia asimjibu huyu mtu.
 
Vyeti ni vya kwake, kasoma yeye, akuonyeshe wewe vyeti vyake? kama unapenda mabago ya kutangaza vyeti vyako tangaza wewe yeye vyakwake mamalaka iliyompa ajira inavijua na wakataka kuvihakiki tena watamjulisha na atawapelekea.
Kiongozi wa umma anatakiwa kuwa safi. Hakuna porojo.
 
yani huyu boya anavyoongea unajua kabisa kuwa ametumwa, eti vyeti tuachie vyombo husika sisi tuendelee na vita ya madawa, sasa sisi tumeamua kuachia vyombo husika vita ya madawa tunadeal na vyeti tu hadi bashite atuambie ukweli!
 
Sisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
Sawa kabisa mku hoja ya msingi ni madawa ya kulevya na sio ujinga ila ungefafanua ujinga wetu ni upi au ule wa taifa kujingiza ktk ghalama kubwa ya kuhakiki vyeti vya wanyonge na kuacha bila kuhakiki vyeti vya akina Mr Daudi?
 
Kwa ufupi

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
w
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.


huyu sio mdogo wake japo anajina la GWAJIMA maana kama angekuwa ni ndg yake asingeweza kujitosa kutetea upuuzi anaoutetea. akitaka aeleweke vizuri angemuuliza bashite kwa nini hataki kuweka vyeti vyake wazi.
NJAA MBAYA SANA.
 
Alikuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni hamkuona kuwa alifoji vyeti?


akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa hamkuona? hadi ameanza mapambano ya dawa za kulevya ndo mnaibuka?

Shame on you....

Magufuli acha kijana achape kazi.
mkuu ushahidi wakati huo haukuwa timilifu na ndio maana aliweza kuwadanganya marais wetu. Sasa ushahidi upo wazi baada ya kukusanywa kwa muda mrefu ni lazima apelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom