Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makelele yoote cheti na wala hamjagundua kwamba hayana msaada? Eti bashite aoneshe cheti? Kwa nani? Awaoneshe cheti ili baadaye mmpe nini? Mahitaji ya kijinga yasiyotekelezeka. Na ni nani mwingine iwe kwa wema au ubaya alishaonesha cheti chake kwenye hili jukwaa ambao zaidi ya 80% ni wambeya na wakosa cha kufanya.Kashapewa chake huyoo,tunataka vyeti tuu..madawa yasitumike kuhailialisha kugushi cheti
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.
Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.
Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.
Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.
Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.
Nawe usiwe kipofu na kujilazimisha kuziba maskio hoja iliyopo ni ya madawa ya kulevya na na suala la kujua jina halisi la mkuu wetu Wa mkoa ni makonda au ni bashite aweke vyeti kwanzaVyeti si hoja, hoja iliopo mezani ni madawa ya kulevya-tuelekeze akili zetu kwenye madawa.
masikitiko yangu ni kwa hao 15 walio kupa like hadi sasa.Dah! huyu ndiye ndugu yake anayemfahamu in and out " hajawaki kufufua hata panya" ila waliokutana naye bongo ndio wanajifanya kumuamini. Kamrarua ile mbaya