Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

final battle for total discipline inaanza amsha watu kutoka mashimoni...inaonekana hii battle sio ya sport sport...ngoja tuendelee kuona series...sijui nani atakufa au atapona kati ya staring na kubwa la maadui?
 
sasa hapo anaongea na vyombo vya habari? mbona kasimama pia hata swali la kumuuliza hakuna maana hawamjui nani
 
Jamani wana jf inaonekana waziwazi kuwa mnahusika kuzima hoja ya madawa ya kulevya hivihivi na waziwazi, kwa sababu tu ya mambo ya kisiasa, sababu kabla ya kutaja wanasiasa mkawa mnabeza kuwa anataja vidagaa, lakini baada ya kuwaingiza baadhi ya wanasiasa mmebadili gia angani kama kawaida yenu. Hebu tungeenda kwanza hoja ya madawa ya kulevya, na baadae tuje kwenye hoja ya vyeti ningewaona wa maana sana. Na inawezekana wanasiasa wengi drugs dealers sio wa chama tawala au upinzani, mfano akina Nape, Msukuma, Zito walionekana kutaharuki mno wakiwa bungeni. This is very wonderful.
 
GSM wanahangaika sana kumwokoa Bashite katika hii zahama iliyomkumba huyu ndugu hivi karibuni baada ya kulewa madaka na kuingia 18 za Manguli wa mjini.

Wamejaza vijana humu wamtetee kwa gharama kubwa lakini watanzania wamegoma kuelewa wanataka Db aweke vyeti mezani. Watatengeneza hadi lisamamu LA mama gwajima waudanganye umma mama g. Anahutubia taifa .
 
Kwa ufupi

Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza kwenye malumbano na mipasho ya kidunia.

Ameendelea kusema vyeti vya Makonda viachiwe mamlaka husika kuchunguza kwani kumuandama sana inaweza kusababisha watu wengine siku zijazo kuogopa kujihusisha kupambana na madawa ya kulevya.

Amesema serikali imemlea sana Gwajima na waziri wa mambo ya ndani anatakiwa amuangalie na ana tuhuma nyingi ikiwemo kadai angemfufua baba wa watoto yatima ilhali yeye anajua hajawahi kufufua hata panya.

Amedai tabia ya kubeza shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali sio tabia njema na haiisadii nchi. Amesema anajua vita ya madawa ya kulevya ni ngumu na hugharimu maisha, atoa wito kwa watanzania wote kuunga mkoni juhudi za kutokomeza madawa ya kulevya hasa Dar es Salaam.

Amesema anafahamu yeyote atakayejitokeza kuunga mkono juhudi za kupambana na madawa ya kulevya ataandamwa tu na hivyo kwa namna ya pekee anamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Paulo Makonda na atakumbukwa na vizazi vyote kwa kujitoa Muhanga kusimamia vita ya madawa ya kulevya Dar es Salaam na kila mmoja amefahamu athari za madawa ya kulevya hadi kwa watoto wadogo ndio maana anaandamwa kila kona na kuhoji walikuwa wapi kuyasema yote kabla ya vita ya madawa ya kulevya.


Kama huyu jamaa ametumwa basi atakuwa amewadhalilisha waliomtuma! Kwanza, Gwajima kama mtanzania anayo haki ya kupiga kelele dhidi ya uvunjaji wa sheria anaotuhumiwa kuufanya Bashite. Pili, Gwajima anayo haki, na anafanya kwa faida ya nchi, kupiga kelele zaidi kama serikali itaendelea kukalia kimya tuhuma hizi. Na katika hili huyu jamaa anayejitambulisha kama ndugu wa Gwajima, kwa kutambua kwake kwamba suala hili linapaswa kushughulikiwa na mamlaka husika, anapaswa pia kutambua na kuunga mkono kelele zinazopigwa na Gwajima halisi kwa kuwa mamlaka anazodai kuwa zinapaswa kushughulikia jambo hili zimeendelea kuwa kimya.

3. Kuhusisha kitendo cha Gwajima kuionyesha serikali mtuhumiwa wa uhalifu wa kielimu/taaluma na huduma yake ya kuombea watu (wafufuke au wasifufuke) ni upuuzi, kwa kuwa sio lazima mchungaji aweze kufufua watu kwanza ndipo awe na haki ya kupigia kelele uvunjifu wa sheria katika nchi yetu. 4. Huyu jamaa naye ameingia katika orodha ya watu wanaotoa utetezi wa kijinga dhidi ya Makonda. Ushiriki wa Makonda katika vita dhidi ya madawa ya kulevya haupaswi kutumiwa kama kinga dhidi yake pale inapotokea kuna tuhuma, tena mbaya za jinai, dhidi yake.
 
Unataka vyeti wewe ndo boss wake ? Hahaaa wabongo bna mumfwate awaonyeshe vyeti sio kujificha nyuma ya majina fake.
 
Anaonekana anamaisha magumu kaka yake ana afya au mke wa gwajima kawazuia kukanyaga statehouse ndugu wa damu akiwa snitch ipo namna uyu kalipwa sio bure tafuta vyako hasira za maisha usihamishie kwa kaka yako
 
katika vitabu vyote vya kikristo ambavyo vimeandika kuwa unapotoa majini kwa mgonjwa sharti uyatume kwa binadamu mwenzako hakuna hicho kitu
Hakuna hata sehemu moja ya maandiko yanayosema hivyo nadhani huyu anajua anatumia nguvu za namna gani nadhani amezitoa kule Nigeria

Hata Yesu Kristo alipokuwa anayatoa majini aliyaamuru kwenda kuwaingilia nguruwe na sio binadamu wengine
Tumeona alichofanya Gwajima nikiwa kama mkatoriki safi nampinga hadharani kwa alichofanya

Hakuna ukristo unaofundisha huo upumbavu nina imani pia hata katika uislamu hakuna mafundisho ya namna hii
Hakuna nabii wa namna hii na hawa ndio wale manabii ambao Yesu Kristo alisema watakuja
Na nabii wa mwisho kuja hapa duniani ni Yesu Kristo hawa wengine wote ni waganga njaa tu wameamua kugeuza dini kuwa biashara

Niliwahi kuhoji uko nyuma kuwa hivi Mungu wa Gwajima ni yupi? Ni huyu huyu Mungu wa Isaka na Yakobo? Ndio huyu huyu tunaemuomba sisi kila siku?
Nadhani sasa watu wamejua rangi halisi ya huyu anayejiita askofu
Hakuna askofu wa namna hii ambaye anaamuru majini yaende kwa mtu mwingine kisa tu wana ugomvi wao binafsi
Huyu si askofu huyu ni Mganga wa Kienyeji na kumuita Gwajima askofu ni kuwatukana maaskofu wote

Ni wakati sasa wa serikali kuyachunguza haya makanisa
Wengine wana vibali vya kutoa huduma lakini ni waganga wa kienyeji, Huyu Gwajima ni mganga wa kienyeji au ni mchawi
Nikiwa kama mkristo safi nalaani kitendo alichofanya huyu askofu feki

Ndimi

RAPHAEL LUKINDO
0765499321
Hivi unafikiri kuna mtu ana haja ya kujua mungu wa Gwajima anaitwa nani? Watu kiu yao ni kujua RC wa DSM anaitwa nani. Mungu wa Gwajima kama anaitwa Amadiora au Ikwechuku is up to him. Unapoteza muda na maandishi meeeeeeengi yasiyo na msomaji
 
Sisi watz tumechoka na ujinga wenu hoja ya msingi hapa ni.madawa ya kulevya ni siyo ujinga wenu .
Eti sisi watanzania, hivi unajielewa au unaropoka hovyo hovyo. Labda watanzania ww na mme wako.
 
TAPELI " HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA" KAMA WEWE LABDA UNAJUA ANGALAU MBU ALIYOFUFUA ACHILIA MBALI PANYA TUAMBIE.
Kama umempa pesa ili afufue mtu wako basi umeliwa na swala la kufufua au kutokufufua sio kosa kisheria ila ukja kwenye upande wa vyeti Bashite aweke vyeti mezan
 
Back
Top Bottom