Hebu nawe weka vyeti vyako hapa isikuwa unadai vyeti vya mwingine wakati wewe huna hata cheti cha madrasa.vita ya madwa ya kulevya inasimamiwa na Kamishna Sian'ga na mpaka sasa amekamata wahalifu wengi tu kwa approach inayostahili.
Bashite aweke vyeti mezani hatutaki blah blah