Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mkuu kama unfanyiwa hivi nyumban kwako vip ukiwa nje na hapo.
Jitahidi uoneshe uanaume wako usiruhusu mtu akutawale kwako
 
mkuu japo umefanya maamuz sahihi lakin ni ya haraka sana kama ungesubiri ungepata majibu yote kuwa hawa watu hivyo vitu na vituko ni mipango yao yote maana apigaye mruzi baadae ataimba tu nyimbo yenye kueleweka mda huu utaambiwa tu unamfukuza mke kwa maneno ya mdogo wake tena alisema kwa hasira tu
 
Nahisi wanaume wengi tunafeli kwenye ndoa Kwa kuleta Democrasia Sana . Mwanamke anakusoma mwanzoni mnapoanza mahusiano au mnapoingia kwenye ndoa .. akifanya jambo la kutokukuheshimu ukalinyamazia ukasema ni Mara ya kwanza basi anaanzia hapo kukuchukulia poa, anaporudia alfu ukamkalipiq anahisi kama ameonewa.

Kwahyo inabidi uwe mkali Kwa Kila kitendo ambacho utaona kinataka au kinakaribia kukushushia heshima Kama mwanaume.! Mwanamke hapendi Bali anaheshimu Sasa akikosa heshima hakuna ndoa yenye usitawi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nilafikiri unaomba mwana Jf aje kukuwekea dhamana mahakamani kwa kuvunja mtu ugoko
Kumbe hivi unakuwaga na ufala gani mekuu
 
😁 Kweli kabsa hio haifai, kengne kimemaliza six ati kaje kakae Hadi muda wa chuo mwezi wa kumi huu Toka kipindi ile, anatoka mkoani mikono mitupu anakuja daslam kukaa miezi


Wazazi wengine vijana hawafai..mmama nilikuwa namuona mdogo kumbe Ana mtoto wa 20yrs

Na kutwa anazunguka kwa ndugu mtoto wake wa kike anakaa nae sa ngap? Ikiwa anamuacha huko mwenyewe si siku atarudi akute mtoto Ana mimba

Nakumbuka Kuna kipindi alimcheki bi mkubwa et Niko stand mjini nakuja kwako ,, akamuuliza umetokea wapi Hadi unipe taarifa sa hizi kuwa unakuja ulikuwa wapi yani ? Ooh marq simu ilizima akamuuliza kwamba ilizima tangu juzi ,haya unakuja fanyaje? Akajibu kulala tu Leo kesho naondoka akamuuliza Tena kwamba umepanda gari masaa kumi kuja kulala kwangu na kuondoka, akamwambia safari kaanzie ulipolala maana mjini hujaja leo hata ulikuepo mm sipo na nyumbani hakuna mtu
 
Kwamba umeshindwa kutumia mamlaka uliopewa embu watimue haraka sio kwa dharau hio
 

Mbona umepaniki sana mkuu, shida nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…