Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Huyo mtoa kuna vitu anaficha wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi kwa mtoto wao wakike inamaana wawe shini ya mtu ikokitu ni kigumu sana maana wazee wakikurya hawana njaa huyu kajificha kwa mzazi wa mke wake wazee wakikurya hawezi kwenda kuishi chini ya utawala wa mtu baki na hawana njaa kufikia wakakimbia kwenye mji wake yaani aondoke kijijini aache ng'ombe na mashamba.

Hii ni kweli. Amenikera sana alipodanganya eti baba mkwe wake anataka akakae kwake burukenge hili

Kamwe baba wa kikurya haingii kwenye nyumba ya mkwe wake KAMWEEE! achilia mbali eti akakae kabisa

Bora hili shoga la MOSHI huko lingesingizia hao wadada likaishia hapo tungejifanya kulipa bega la kujilizia ila because ya kuwadhalilisha wazee wetu wanaokuza ma-IGP, CDF, CAG, AG etc limedhihirisha lenyewe ndo gone bad beyond repairable... Si linalelewa kwenye nyumba ya dada zetu ngoja wakalitoe. Gay is yet to be legalised in Tanzania.

You SPINELESS DOG Nimekataa get that in addition to what our young sisy told you. you are a complete Moron kabisa

Watu wajue jamani dada yako/mtoto wako akiolewa waache waishi kwa amani,et baba mtu unataka ukaishi kwa mkwe hivi waswahili tupoje??
Kila mtu akae kwake jamani ndugu huwa wanavuja miji za watoto wao
 
Kamanda kuwa makini sana na uhai wako, baba yake akifika hapo jeshi litakuwa limekamilika hivyo maisha yako yatakuwa mikononi mwao, so jiandae na lolote hasa kuuwawa kimya kimya
 
Kamanda kuwa makini sana na uhai wako, baba yake akifika hapo jeshi litakuwa limekamilika hivyo maisha yako yatakuwa mikononi mwao, so jiandae na lolote hasa kuuwawa kimya kimya
Toka lini mkurya akawa muuwaji esp kwenye senseless stuffs kama ya hili mbweha?

Dada zenu wa machame nasikia ndo wanafanya ivyo linapokuja suala la mali so msikalili sawa?!

Mali yenyewe ni ya kwao hao wakurya so why waliuwe hili kubwajinga? They are just going to get rid of him but not through death
 
Mkuu hilo kabila huwa hawapendeki kwa style unayoitumia ! Ungeoa tanga au zanzibar ningekuelewa !! Hili kabila ukiwatandika vibao ndo unakua Romantic !!

Kwanza mke inaonekana ndo ana sauti ndani kuliko wewe ! Kampa mdogo wake ujasiri !! Pia anakaribishaje mgeni wakati wewe na yeye hamjaongea !
Lamba vibao wote kwanza au waondoke kwa muda !!
Acha dharau mura Kama shemej hawezi kuongoza family acha Dada aongoze
 
Duuuu Kuwa mwanaume ni mtihani. Ila na wewe umekuwa ndezi kweli, mji ni wako hata km ulijenga na dada yake wewe bado utabakia kichwa Cha familia.

Ushauri fukuza wote wakajifunze adabu nyumbani kwao hata kabla baba Yao hajaja. Huoni km anakunanga anaposema wewe huna Cha kupoteza maana baba Yako alishakufa. Pili una mke mjinga (samahani kutumia neno hilo ila kwa uliyotwambia linamfaa). Haiwezekani mambo ya ndani amsimulie mtu wa nje hata km ni mdogo wake.

Mwisho, fanya juu chini umgonge huyo mdogo wake (wewe ni mtu mzima umenielewa) hata kwa kutumia pesa. Hapo heshima itakuwepo, na ikiwezekana na yeye uweke ndani. Yani anakutamkia kabisa Kuwa anakudharau alafu unaona kawaida hiyo.

Narudia kula mzigo huo, huyo anakutaka. Utanishukuru siku moja
 
Kuna swali mtoa mada ameulizwa zaidi ya mara 3 na watoa comment ila hajaweza kulijibu na hiyo nahisi ndo sababu.

Umeulizwa, uliwahi kumtongoza huyo shemejiiiii????

Wanauliza ila unajaribu kujibu maswali vipengele b na c ila kipengere a unakiruka sana.

Kutokana na hilo naamini asilimia 90 ulikatongoza lkn jitahid isiwe sababu ya kudharaulika kiasi hicho mr,duh unatia aibu sana aisee.!
 
Asante kaka kwa ushauri...
Na nime amini mauwaji kwenye mausiano hayawezi isha.Kwa Jinsi nilivyo sota juu ya hizi mali alafu leo wanaongea kirahisi hivi hapana asee nasema tena hapanaaa.
Kataa mkuu kama jina lako lilivyo.
 
Mkuu samahani it reads to me like mwenye mali hapo ni mke, hyo mali maybe imetoka kwa familia yao so hata uyo dogo anahesabia mali ni yakwao ndo mana anajiamini. Haiwezekani uwe bread winner af wakuletee ujuaji never
 
Ningechapa vibao huyo dogo na angeondoka muda huohuo.. sema bro inaonekana mkeo anakudharau pia ndo maana dogo kawa comfortable.. mkeo keshamlisha sumu dogo
 
Una robo ya uvumilivu Sana mkuu. Na busara izidi kukutawala maana wengi wetu hapa kwenye forum huenda tungechukua maamuzi muda huo huo.
 
Niko tofauti kidogo na wengi humu kuhusu kwenye kumpiga huyo shemeji yako na sababu ni vile najifahamu so najua mwisho hautakuwa mzuri. So huwa sinyanyui kirahisi mkono.

Kitu ambacho ningefanya ni kwanza nampigia baba mkwe hapo hapo kumwambia hakuna safari abaki huko, wanae wanaenda huko huko. Sababu ataambiwa na wanae

Kisha namwambia wife leo utalala na mdogo wako chumba anacholala huku mnajiandaa kwa safari kesho mnaenda kwenu na wife namwambia baki kwenu hadi nikuite.

Kesho mapema alfajiri kabisa nawapeleka stand warudi kwao kwanza.

Hivi chief huo usiku utakuta chumbani bado mkeo nae alijifanya kakununia na ukaanza kumbembeleza.

Uko vitani chief, yaliyosemwa yamemaanishwa so man up or it's 6 feet under.
 
Yaani hadi wanawake humu wanauchungu kwa namna ulivyotendewa na wameonesha msimamo na kukerwa na jambo hilo. Msimamo ambao chief umeshindwa kuwa nao kama mwanaume.

Man up chief, man up.
 
Wakuu naomba ushauri.

Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi nasi pamoja.

Sasa baada ya kipindi kupita mke wangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.

Kisa
Jana nilienda dukan kwetu na mke wangu (duka la vipodozi), lengo kumfuata shemeji na kupiga hesabu na kufunga duka. Dakika chache mke wangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.

Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote. Ikumbukwe yote haya yanafanyika dukani tukiwa wote watatu namaanisha mimi, mke wangu na shemeji. Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mke wangu ananieleza kuwa "Baba atakuja kesho na nimeshamtumia na nauli"

Mi nikamjibu kwa njia ya ujumbe wa simu, "Unaniambia ama unanipa taarifa?" Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea Kikurya yeye na mdogo wake (mimi mchaga). Mimi hapo sielewi kitu ila nyuso zao ni kama wamefura kwa hasira.

Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pikipiki, mdogo mtu (shemeji) alibaki dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani. Nilipofika nyumbani sasa nikamuuliza mke wangu kwanini umekasirika kwa ujumbe kama ule angali sijaandika tusi?

Ailinijibu we niache kwanza, ushamzika baba yako hivyo huna cha kupoteza. Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako, maana yanayoongeleka ni mengi sana hasa juu ya mimi na wewe.

Maana unayomueleza nduguyo huwaeleza hata watu wa karibu. Dah, baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake na kumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.

Alifunga duka na akarudi nyumbani spidi ya jeti na kunikuta sebulen nimekaa naperuzi JF. Kwanza alipofika tuu nyumbani aligonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna mtu ana tuvamia. Alipotimba sebulen akaanza kwa kusema ilikuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako?

"Halafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana? Unadhani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani? Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana, naishi na wewe kwa kukuvumilia sana?Nlisha kudharau sana.

He he..he! Nlibaki nashangaa sana, kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu, ni wa mwaka 98. Mwisho akasema bhana eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)! Hata dada yake hakuwahi kutamka maneno kama haya asee.

Wakuu, mimi nimeamua asepe kwao ifikapo Jumatatu ya tarehe 17, October. Japo mke anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.

Pia msaada tafadhali maana nina mawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya Biashara, halafu pia ndugu lakini sina namna.

Nawasilisha.
Pole mkuu, hao ni mashetani sio watu
 
Back
Top Bottom