Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Aise hili ni tatizo la kuacha misingi na mila zetu za kiafrika sasa mtu anakupangiaje mambo ya familia yako kuwa mwanaume uairuhusu huo ujinga upo nyumbani kwako thry have to live by your rules full stop
Kuna jamaa yangu mmoja nae tena wakili ika anachofanyiwa na mke wake yanafanan na wewe na ukijaribu kumnasua anaenda kumwambia mke wake unashangaa unanuniwa na mke wake bila ya sababu, yani hadi mama mkwe wake anaingilia ofisi yake ya uwakili kujua alichopata aisee wanaume wa siku hizi
Mwanamke kama huyo mwambie kiume,achaguwe wwe mme wake au ndugu zake katika maisha yenu ya Mahusiano!!
 
Enaonesha mdogo mtu mtaam maana wanawake wakorofi ndo wazuri kuwatafunaa mpaka mifupaa
 
Back
Top Bottom