Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me ndo nashangaa yeye angeweka focus yakumla mdogo mtu na kuweka attention kwake tu wivu ungemkamata dada mtu mwshowe wagombane wao kwa waoHuyo shemeji ulitakiwa umle tu ungewaachia ugomvi yeye na dada yake. Ukimla ataondoka yeye au dada yake., watagombana mpaka mmoja aondoke mwenyewe
Kifaa kazi hanaMtom* e huyo....umemchelewesha sana
Mara nyingi hii mbinu inatumika na majasusi..Huyo shemeji ulitakiwa umle tu ungewaachia ugomvi yeye na dada yake. Ukimla ataondoka yeye au dada yake., watagombana mpaka mmoja aondoke mwenyewe
Sijui wanafail wapi vijana wa siku hizi. Hizi technics ni inborn kwa mwanaume yoyote mkamilifu.Me ndo nashangaa yeye angeweka focus yakumla mdogo mtu na kuweka attention kwake tu wivu ungemkamata dada mtu mwshowe wagombane wao kwa wao
Mwanamke kama huyo mwambie kiume,achaguwe wwe mme wake au ndugu zake katika maisha yenu ya Mahusiano!!Aise hili ni tatizo la kuacha misingi na mila zetu za kiafrika sasa mtu anakupangiaje mambo ya familia yako kuwa mwanaume uairuhusu huo ujinga upo nyumbani kwako thry have to live by your rules full stop
Kuna jamaa yangu mmoja nae tena wakili ika anachofanyiwa na mke wake yanafanan na wewe na ukijaribu kumnasua anaenda kumwambia mke wake unashangaa unanuniwa na mke wake bila ya sababu, yani hadi mama mkwe wake anaingilia ofisi yake ya uwakili kujua alichopata aisee wanaume wa siku hizi