TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

Acha lawama kachanje

Suala la chanjo ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri na bila shaka huelewi kwanini madaktari wanasisitiza watu kuchanjwa kwa lazima kwani inawaweka wao hatarini japo wamechanjwa.
 
Pole sana Sophia HansPope kwa kuondokewa na Kaka zako. Kumbuka tulikuwa darasa moja pale UDSM kuanzia 1978-1981. Pole sana.
Huu mwaka sidhani hata wazee wangu kama walianza magusiano na teyari nina 30yrs sasa.
Shikamoo mzee wangu.
 
Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.

Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Hata majina nayo huchangia kulainisha mambo!
Hans Pope vs Jalu Matola 😅😅😅
 
Kwani si umechnjwa na pia unavaa barakoa na kujifungia ndani au?
 
Ndio maana waliochanja wana hofu kuliko wasiochanja. Maana si kwakupukutika huku.
Busara za Mungu zituongoze ktk hili
 
Huyo alikua anaumwa mda kabla hata ya Hans
 
Yawezekana Kaka alimuambukiza COVID-19 aliyokuwa nayo na hii pia iwe ni wake up call kwa Ndugu au Watu wengine ambao walikuwa karibu na Marehemu Zachariah Hans Poppe ( alias Mapama )
 
Ni mimi tu sijakuelewa au vipi
 
Watambue pia wengi wa wanaofariki sasa ni waliochanja.

Hapa kwetu kuna baba alienda kuchanja akiwa vizuri tu , baada ya chanjo hawezi kuinuka tena, anasema mgongo na nyonga vimeshika.

Poleni wafiwa wote.

Huzuni kubwa sana, kuzika watoto au ndugu wawili kwa muda mfupi hivi.

Let them Rest in Paradise.
 

Tuna serikali ya ajabu sana isiyokuwa na utu wala ubinadamu.

Serikali za namna hii asilaumiwe
bwana Doumbouya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…