Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali siyo nzuri. Hawa ni wale maarufu tunaowasikia.
Koryo2 mwaka 1978 ulikuwa tayari udsm? Hongera sana baba,umepata chanjo?Pole sana Sophia HansPope kwa kuondokewa na Kaka zako. Kumbuka tulikuwa darasa moja pale UDSM kuanzia 1978-1981. Pole sana.
Ila kwenye siasa utawakuta hasa hawa baniani, na waaarabu wa Kayenze, ni watoa rushwa sana hawana aibu kwa kujikomba hata akiwa mtu mzima atamwakia shikamoo mheshimiwa mwenye miaka 30 ilihali yeye ana 60, namkumbuka yule aliyekuwa mbunge wa Kawe Adamjee alivyokuwa anamwaga shikamoo kwa RC/DC/Waziri ambao kawazidi umri bila kupepesa macho.Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.
Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Ni sawa na kusema jamii ya maalbino ni wafanya biashara huwezi kuwakuta kwenye majeshi ya Tz Jwtz,polis au magereza.Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.
Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama alienda maana nae alikuwa hospitali anaumwaAnegeachaje kwenda kumzika kaka yake? Lazima aikwenda, na alikuwa mstari wa mbele....
Nikifika iringa ndo nimefika Mkuu? Kwani wanakaa stendi?Njoo iringa.
Pole kubwa kwa familia.Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
View attachment 1946052
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Apumzike kwa amani, pia tuache hofu, hofu ndio tatizo halisi.
Hakina nchi duniani imewahi kusonga bila kuwa na mfumo imara wa Kodi!! Acha tozo ziendelee ili tuboreshe maisha jamiii,
Chief hii ni theory....ni ngumu mgonjwa kutokuwa na hofu anapogonjweka hasa ukifijiria utakayoyaacha duniani kama ukifa....tatizo lipo watu waishi kwa tahadhari, kitakachokulinda ni fitness yako Mungu aliyokupa....
Ni kweli, black tunasumbuliwa na mambo mengi, uvivu uliopindukia, ubinafsi usioelezeka, tunaridhika na vitu vidogo vidogo tena mapema sana tunaridhika, kupenda kujionesha na kujikweza.
Kwa kifupi mablack ni kama tumelaaniwa
huyu ndio mrangi tunayemjuaInawezekana maana ukiwachunguza sana historia zao watakuambia wazee wao walitoka wapi
Mfano wkt nko mdg nlikaa chimala mbeya,pale palikuwa maarufu kama kwa mjerumani"mzee charles"alikuwa kama mzungu na qlikuwa diwani,alikuwa mkulima mzuri sana
Kuna siku tuko shambani tulikuwa tumekaa
Wao wanapiga story akawa anasema asili yao ni wayahudi
Ova
I say, na mimi nilikuwa UDSM (Faculty za shamba) mwaka 1978-81, tuligraduate pamoja, heeeeee!Pole sana Sophia HansPope kwa kuondokewa na Kaka zako. Kumbuka tulikuwa darasa moja pale UDSM kuanzia 1978-1981. Pole sana.
Tafauti na unavyowaza, hiyo shikamoo haina uzito wowote kwao kwani siyo mfumo wao wa kuamkia. Ni sawa na mchaga anavyomwamkia mwanawe shikamoo.Ila kwenye siasa utawakuta hasa hawa baniani, na waaarabu wa Kayenze, ni watoa rushwa sana hawana aibu kwa kujikomba hata akiwa mtu mzima atamwakia shikamoo mheshimiwa mwenye miaka 30 ilihali yeye ana 60, namkumbuka yule aliyekuwa mbunge wa Kawe Adamjee alivyokuwa anamwaga shikamoo kwa RC/DC/Waziri ambao kawazidi umri bila kupepesa macho.