Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini hali imekua nzuri kwa mitizamo yakoHali siyo nzuri. Hawa ni wale maarufu tunaowasikia.
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
View attachment 1946052
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukiwa mweupe au chotara fursa zinafunguka kirahisi kuliko mtu black.
Mkuu unaamini mm mrangi😂😂😂Mkuu iv warangi rangi ni jamii ya watu gn? Naonaga watu wakiwataja sn hasa kwenye nyuz znazohusu south africa
Naona km bado hujanijibu mkuuMkuu unaamini mm mrangi😂😂😂
Yawezekana ni mrangimrangi
Ova
Ngoja tuone baada ya Simba day!Pole kwa familia ya Hans Pope
Huenda ni kwel mkuu, black tuna ufukara sn sababu ya roho mbaya
MachotaraMkuu iv warangi rangi ni jamii ya watu gn? Naonaga watu wakiwataja sn hasa kwenye nyuz znazohusu south africa
MachotaraMkuu iv warangi rangi ni jamii ya watu gn? Naonaga watu wakiwataja sn hasa kwenye nyuz znazohusu south africa
Mkuu Unataka waje wakufunge kamba wakupeleke kule chanjo zinapatikana,au unataka wakulazimishe kunawa mikono na kutumia barakoa unapokuwa katika mikusanyiko ya watu?,wewe Ni wa umri gani kwanza?Hatari kubwa.
Apumzike kwa amani Eddy Hans Poppe.
Samia, Mpango, na Majaliwa wako busy na uchumi wao huku wakilenga kutuksmua kwa tozo na kodi zaidi.
Hivi hata wa mawazo tu, Corona inatuathiri vipi wananchi?
Hivi wanaelewa ni chuki kiasi gani wanajipalia?
Mkuu Unataka waje wakufunge kamba wakupeleke kule chanjo zinapatikana,au unataka wakulazimishe kunawa mikono na kutumia barakoa unapokuwa katika mikusanyiko ya watu?,wewe Ni wa umri gani kwanza?
Pambana na Hali yako,acha kulaumu watu,utakufa siku moja muda wako ukifika
Zaburi 39:4-6 BHN
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!” Kumbe umenipimia maisha mafupi sana! Maisha yangu si kitu mbele yako. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Hakina nchi duniani imewahi kusonga bila kuwa na mfumo imara wa Kodi!! Acha tozo ziendelee ili tuboreshe maisha jamiii,Ninanataka watambue tuna gonjwa la Corona ambalo ni janga la taifa.
Watambue kuna shughuli kutokana na janga hili zimesimama kabisa.
Kwa hiyo si sahihi wala halali wao kuendelea kuwakamua wahanga wa ugonjwa huu kwa kodi na tozo lukuki zilizo boreshwa sana. Kwa maana nyingine ni uovu wao mkubwa uliopitiliza kutokuwa na huruma na wahanga wa ugonjwa huu kiasi cha kuwatelekezea gonjwa na gharama zake za matibabu.
Vipi wewe ni mnufaika katika hawa mnaotukamua hadi damu marehemu sisi tuliosongwa mno na gonjwa hili?
Mkuu hizo ni execuse za walioshindwa. ,😂😂What does uyahudi have to do with mafanikio yake?
Wayahudi wote wametoboa?
Kuna ubaya gani kama wangekua wayahudi kweli na kukiri ni wayahudi?
Bado miafrika mnashobokea hizi story. Smh