TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

Wayahud hao...kwa mgongo wa kijifanya wajeremani
Inawezekana maana ukiwachunguza sana historia zao watakuambia wazee wao walitoka wapi
Mfano wkt nko mdg nlikaa chimala mbeya,pale palikuwa maarufu kama kwa mjerumani"mzee charles"alikuwa kama mzungu na qlikuwa diwani,alikuwa mkulima mzuri sana
Kuna siku tuko shambani tulikuwa tumekaa
Wao wanapiga story akawa anasema asili yao ni wayahudi

Ova
 
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,

View attachment 1946052

(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Kweli duniani tunapita,
 
Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.

Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Lakini ni rahisi kwao kufanya biashara za kimataifa. Kwenda nje na kujichanganya kirahisi nk. Dunia ni rahisi sana kwa mtu mweupe kutoboa. Hata wewe mkikutana na mhabeshi nje na mnaqualification sawa, ni rahisi kwa mhabeshi kutoboa.
 
Wana project moja kubwa sana cha kilimo cha strawberry iringa ukiona investment iliyofsnyika,vifaa shamban,wanavyolima
Wanavyoshirikiana ni kwa mafanukio makubwa sana,jamaa hawa ni hardworking sana
Si unajua warangirangi walivyokuwa wabishi

Ova
Mkuu iv warangi rangi ni jamii ya watu gn? Naonaga watu wakiwataja sn hasa kwenye nyuz znazohusu south africa
 
Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.

Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mkuu Marehemu Zacharia si alikuwa jeshini? Tena aliondolewa kwenye cheo cha u-kapteni? Sema funzo ni kuwa ukiona umeondolewa kazini, usikae na kuliaia;tafuta opportunities nyingine....
 
Wayahud hao...kwa mgongo wa kijifanya wajeremani

What does uyahudi have to do with mafanikio yake?

Wayahudi wote wametoboa?

Kuna ubaya gani kama wangekua wayahudi kweli na kukiri ni wayahudi?

Bado miafrika mnashobokea hizi story. Smh
 
Back
Top Bottom