cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Povuuuuu jingiiii, vipi umekulaa lakini usiku huu.?Mkuu uwe maskini au tajiri matumizi ya Sehemu ya haja kubwa ni ile ile. Au unataka kusema ukiwa na fedha nyingi matumizi yanabadirika?
Ebu ona maana ya hii sehemu:
"Anus" =the opening at the end of the alimentary canal through which solid waste matter leaves the body.
Natumia lugha ya Ndugu yako Mama Elton John.
kwa lugha yetu:
NI ENEO LA KUTOLEA TAKA MWILI, na sio kuingiza manii (Ukishindwa kuelewa hapa nenda tuisheni mombasa)
Na ndio maana mapenzi kwa njia hii ina madhara haya:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi).
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Hivyo basi, sikukatazi kwenda na wakati. UKWELI NI KWAMBA HUWEZI BADIRISHA ASILI.
KIKUBWA ACHENI KUONGEZA USHINDANI USIO NA SABABU, WANAWAKE KUWA WENGI NI USHINDANI TOSHA.
NA MNATUCHOSHA SISI WENYE YETU 'MADUNGU' KWANI TUNADUNGUA KOTEKOTE KWENYE MIKOJO (MBELE) AU KWENYE CHOO (ANUS).
HIVYO BASI UKIWA NASHIDA USISITE KUNIONA PM
NAWEZA KUKUHUDUMIA KWA GHARAMA NAFUU WEWE NA WENZIO NIANZE KUKUSANYA PESA TOKA KWENU ILI SIKU MOJA NA MIMI NIWE TAJIRI NA KUACHA MAKASIRIKO.
WASALAAMU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh