Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

Mdogo wake Elton John, Jeoff Dwight

Leo nimestaajabu ya musa hakya mungu daaaah!

Kwani ni huyu cocastic huyu au hata sijui niseme nini na stori ya ujauzito 🤣🤣🤣 hadi majina nikakupa uchague duuuuh! Kumbe dume 😂😂😂😂 leo nimejua ukweli dunia ilishaisha tunaopita tunamalizia tuu 🤣🤣🤣🤣
Hivi nikweli mie siamini
 
Ushoga ni kinyume cha sheria zetu. Suala kwamba makonda alikuchekesha haibadili hilo, hakuna sababu yoyote ya mtu kuukemea kwa kujificha kama ulivyoleta hoja yako ya keyboard worrier. Ushasikia mtu kakamatwa kwa kulaani ushoga Tanzania?
Na wee ushasikia hapo mashoga wana kamatwa sasa ili hali wako wazi wazi? Tena wengine wana ushahidi toshaa kabisaa mbna hakuna hatua yoyote inayo chukuliwa?

Au unadhan kuwa ruksa had watangaze rasmi? Poleeeeee, sheria gan hizooo wee unazungumzia? Mbna hazifuatwi sasa? Nikajua hata unaelewa unacho kizungumza, kumbee hollah

Haya tokaa hadharani kemea na pinga ushoga km wee unawezaaa, kwan unakwamaa wapiiii??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Eve unataka nikoboanee nao au? Mie na wee tuna tofauti gani? Mie nawee ni nyumba 1, wee unatumia mlango wa mbelee, mie natumia mlango wa nyumaaa.

Afu nimekumic, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Na wee ushasikia hapo mashoga wana kamatwa sasa ili hali wako wazi wazi? Tena wengine wana ushahidi toshaa kabisaa mbna hakuna hatua yoyote inayo chukuliwa?

Au unadhan kuwa ruksa had watangaze rasmi? Poleeeeee, sheria gan hizooo wee unazungumzia? Mbna hazifuatwi sasa? Nikajua hata unaelewa unacho kizungumza, kumbee hollah

Haya tokaa hadharani kemea na pinga ushoga km wee unawezaaa, kwan unakwamaa wapiiii??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mengine mpaka yanazomewa na vijana huko. Labda yale Mashoga yanayopenda giza ndo yako salama. Mchana upite na pampas yako uachwe? Nchi hii? Labda ile mitaa iliyolaanika.
 
Bibi nawee nae, sasa huyo dogo kuwa mbangaizaji na kuwa straight ndo kunafanya Elton asiwe Gay kisa ana pesa?

Hivi nashindwa kuelewa mindset ya watu kuhusu Gayism hasa wa Africa, kwan pesa ndo zinafanya hisia zife au zisiwepooo?? Km mtu ana feelings kwa jinsia yake hata awe na ukwasi kiasi gani hisia zitabaki vile vile

Elimu ya Ujinsia iletwee Africa, sio kwa hii akili ikiyopoo huku aiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alaf hiyo elimu haje kupewa nani?. Labda kama mtakusanywa nyie then ndio mpewe. Ila kama mmeamua kwa hiari yenu kushiriki aina hiyo ya mahusiano, mkijua fika hamtoweza kuwa na watoto au kuendeleza kizazi chenu, basi msilete watu kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wa watu wengine, au kuwafundisha namna ya kujielezea.
 
Ebu subiri kidogo 😂 😂
hivi chooni sasa si una mwaga mavi kama bata,(kwamba unaharisha siku zote kwa sbb ya 🍆).
Unakimbia swali 😂
Haya mambo kama una akili kisoda bora uachane nayo bro, sio kila jambo ujitie ujuaji unaaibika kama hivi,
Lol
 
Mbona mengine mpaka yanazomewa na vijana huko. Labda yale Mashoga yanayopenda giza ndo yako salama. Mchana upite na pampas yako uachwe? Nchi hii? Labda ile mitaa iliyolaanika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuzomewa tyuuh? Hili ndo kukemea na kupinga ushogaa? Nilishakuambia wee huna hojaaa, hizi madaa ni za watu wenye akili tyuuh.
Wee nenda kacheze kule uzi wa kula tunda kimasikhara ndo size yako.

Hukuu tuachee wenye IQ zetu aseeeeh.
 
Alaf hiyo elimu haje kupewa nani?. Labda kama mtakusanywa nyie then ndio mpewe. Ila kama mmeamua kwa hiari yenu kushiriki aina hiyo ya mahusiano, mkijua fika hamtoweza kuwa na watoto au kuendeleza kizazi chenu, basi msilete watu kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wa watu wengine, au kuwafundisha namna ya kujielezea.
Rudi kwanza darasani kajifunze kuandika, ndo uje hapa tu argue. Ni "aje" sio "haje" duuh walimu wa Awali kazi wanayo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakimbia swali [emoji23]
Haya mambo kama una akili kisoda bora uachane nayo bro, sio kila jambo ujitie ujuaji unaaibika kama hivi,
Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wanachekeshaa mnoo, wakopigwa pin wanakimbiaaa.
 
Back
Top Bottom