FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Acha wivu na masikitiko.Uzi ulikua kuhusu mdogo wa Elton John sio elton na wafuasi wake wakina cocastic kw sababu naona huu uzi hauna tena maana imekua kama sehemu ya utambulisho wa huyu member na wenzake wenye kufanana matendo...
Moderator Active Paw haya ndio maswala jamii tunayapigia kelele kila siku yatokomezwe sasa kwanini huu uzi bado upo wakati hauna maudhui mazuri kwenye jamii tunaomba ufutwe tafadhali!