Halafu yalivyo mehu ni kama yana justify ujinga wao baada ya kushindwa first time, Mara ya kwanza ali chukuliwa na wananchi ila bado yame amua lazima alale nyuma ya nondo.Kosa la Heche ni nini hasa.
Aisee CCM ya Samia inawapa watetezi wao kazi ngumu kweli.
Ngoja tusubiri maelezo ya RPC, afisa wa uhamiaji na makada.
Kaazi kweli kweli.
Is this necessary
Samia ni raisi wa hovyo, Iła kazungukwa na mafisadi wanaofanya mambo ya hovyo. Ambayo yanamfanya Samia aonekane wa hovyo kweli kweli.
Sasa hii unnecessary coverage ya nini wakati mtu alikuwa anaenda kwenye msiba tu.
Kaazi kweli kweli
JF inafurahisha na kuna wasaa wa kufurahishana ni sawa na watu wasiomjua Ritz ni nani ndani ya CCM na level yake ya ujizi.Halafu yalivyo mehu ni kama yana justify ujinga wao baada ya kushindwa first time, Mara ya kwanza ali chukuliwa na wananchi ila bado yame amua lazima alale nyuma ya nondo.
Presha ni kubwa kwa yeye na genge lake, ila lazima wamle kichwa.
Wewe unaeleweka. Leo unasema hili, na kesho utakuwa umegeuka kuwa mtu mwingine tofauti kabisa!Kosa la Heche ni nini hasa.
Aisee CCM ya Samia inawapa watetezi wao kazi ngumu kweli.
Ngoja tusubiri maelezo ya RPC, afisa wa uhamiaji na makada.
Kaazi kweli kweli.
Is this necessary
Samia ni raisi wa hovyo, Iła kazungukwa na mafisadi wanaofanya mambo ya hovyo. Ambayo yanamfanya Samia aonekane wa hovyo kweli kweli.
Sasa hii unnecessary coverage ya nini wakati mtu alikuwa anaenda kwenye msiba tu.
Kaazi kweli kweli
Kwani Ritz na Faiza Fox wanatofautiana nini?JF inafurahisha na kuna wasaa wa kufurahishana ni sawa na watu wasiomjua @Ritz ni nani ndani ya CCM na level yake ya ujizi
JF inafurahisha na kuna wasaa wa kufurahishana ni sawa na watu wasiomjua Ritz ni nani ndani ya CCM na level yake ya ujizi.
Ndio kama wewe, mimi siijui CCM vile na serikali ya sasa kama fisadi Ritz. Kuna
mtu alikuwa analiita hili jizi maskini (unabaki unacheka) wanaomjua vizuri nyuma hili juzi wanasoma na kujisemea JF utoto mwingi siku hizi
Na wewe uwezi ongea siasa Tanzania na mimi, się wakongwe humu.
Mną akili zenu zina watosha wenyewe.
Shida ni watoto, vinginevyo Ritz ni piga ua kada mtiifu wa CCM,Huyo mtu saa hizi ukiona maandiko yake anayoleta humu kutoka ile account ya kigogo2014 , nikijumuisha tuliyoyasikia kuhusu baba yake na waliokua nyuma ya ile account enzi za jiwe na baada ya jiwe tu kufariki ile account ikaacha ukosoaji basi ninaamini hata Polepole alikuwa na mengi ya kusema mbele wakaona wamuwahi.
Shida ni watoto, vinginevyo Ritz ni piga ua kada mtiifu wa CCM,
Binafsi nilikuwa mkreketwa wa JK alipoingia JPM mwanzoni nilikuwa simuelewi nikawa namponda sana.
Huyo Ritz ndio akaniambia badała ya kuponda CCM bora pumzika siasa hii ni hawamu nyingine wacha wafanye yao.
Ndio yeye kushuka chit-chat na baadae kuamia kujikita kwenye udini full time.
Nashangaa ambao leo hawajui huyu
jamaa ni CCM sugu.
Wewe huwa unajiona smart sana kichwani ila ukweli una tatizo la kiakili.Shida ni watoto, vinginevyo Ritz ni piga ua kada mtiifu wa CCM,
Binafsi nilikuwa mkreketwa wa JK alipoingia JPM mwanzoni nilikuwa simuelewi nikawa namponda sana.
Huyo Ritz ndio akaniambia badała ya kuponda CCM bora pumzika siasa hii ni hawamu nyingine wacha wafanye yao.
Ndio yeye kushuka chit-chat na baadae kuamia kujikita kwenye udini full time.
Nashangaa ambao leo hawajui huyu jamaa ni CCM sugu.