Mdogo wake Heche na wengine wanne wakamatwa na Polisi usiku huu

Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.

Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.

Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.

Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.

Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).

Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,

Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.

CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
Ritz na ukada wake wa kupewa vijipesa vya kubadili mboga, net worth ya familia na ukoo wake hawafikii thamani ya gari moja la first son au rafiki yake...

Kwani nimesema uongo?

Hivyo anapojitia ni kada mtiifu aelewe yeye ni masikini tu, hohe hahe, wenzake wana nyumba Oman, zanzibar, Dubai n.k-- nyumba za yule mtoto kwa zinazofahamika inafika bilioni 76 Tshs... na zipo pande tofauti duniani...

Unakuja kutuambia habari za Ritz ana mashine za kokoto...

Huyo ana bima inaweza ku cover matibabu yanafikia 150 Mils? au ndio atatembeza bakuli? au hukuelewa nachosema, maana inaelekea na wewe ni mkurupukaji.

Kama ni kada akae ajitafakari yeye ni choka mbaya tu... yaani baba levo na ujinga wake wote ananufaika chamani kuliko huyo Ritz , you get my point.
 
View attachment 3490530

Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.

Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Unecessary arrest hizi, ndio maana wanaogopa kufungua kesi haraka haraka maana wataaibika
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwani Ritz na Faiza Fox wanatofautiana nini?
Hata hivyo, angalia akili yako inavyorukaruka bila ya mpangilio wowote? Ni nani kakuuliza habari za Ritz? Ni nani asiyemjuwa huyo?
Imebidi nicheke sana, comrade Mayor Quimby sijui kakumbwa na nini Leo.

Habari ni za heche, ila kaamua kuruka na ritz association.
 
Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.

Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.

Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.

Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.

Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).

Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,

Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.

CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
Mayor mbona sielewi unavyoandika leo?
 
Ritz na FaizaFox wote ni makada wa CCM wanaonufaika na chama hicho kutokana na kilivyo tekwa na kundi wanalojihusisha nalo; ambalo wanaona ni muhimu zaidi ya u-Tanzania wao.

Wewe ni mtu wa kubadilika badilika sana, hilo ndilo tatizo linalonipa shida kidogo kukuelewa. Mwanzo kabisa hata uandishi wako ulikuwa umenyooka; sasa hivi ni vigumu kukusoma na kuelewa ni kipi hasa unajaribu kukieleza.
 
Kosa la Heche ni nini hasa.

Aisee CCM ya Samia inawapa watetezi wao kazi ngumu kweli.

Ngoja tusubiri maelezo ya RPC, afisa wa uhamiaji na makada.

Kaazi kweli kweli.

Is this necessary

Samia ni raisi wa hovyo, Iła kazungukwa na mafisadi wanaofanya mambo ya hovyo. Ambayo yanamfanya Samia aonekane wa hovyo kweli kweli.

Sasa hii unnecessary coverage ya nini wakati mtu alikuwa anaenda kwenye msiba tu.

Kaazi kweli kweli
Mambo ya aibu
 
View attachment 3490530

Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime.

Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
Hili lishangazi levi la Konyagi kutoka Kizimkazi sasa limezidi, yaani hata ukiwa ndugu wa mwasiasa wa opposition pia ni kosa la kufanya ukamatwe?
 
Ritz na ukada wake wa kupewa vijipesa vya kubadili mboga, net worth ya familia na ukoo wake hawafikii thamani ya gari moja la first son au rafiki yake...

Kwani nimesema uongo?

Hivyo anapojitia ni kada mtiifu aelewe yeye ni masikini tu, hohe hahe, wenzake wana nyumba Oman, zanzibar, Dubai n.k-- nyumba za yule mtoto kwa zinazofahamika inafika bilioni 76 Tshs... na zipo pande tofauti duniani...

Unakuja kutuambia habari za Ritz ana mashine za kokoto...

Huyo ana bima inaweza ku cover matibabu yanafikia 150 Mils? au ndio atatembeza bakuli? au hukuelewa nachosema, maana inaelekea na wewe ni mkurupukaji.

Kama ni kada akae ajitafakari yeye ni choka mbaya tu... yaani baba levo na ujinga wake wote ananufaika chamani kuliko huyo Ritz , you get my point.
Wewe punguani nilikuwa najua unafahamu kumbe jinga kabisa toka uje JF na uzi wako eti FB1 wampa onyo Mangekimbambi hahaha😅 sasa punguani kama wewe kazi kujisifia JF mara na bima ya afya😅

Mimi nimeishakuambia ni muuza kahawa sina chochote ni masikini nasubiri Lissu achukue dola niwe tajiri.
 
Back
Top Bottom