100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ritz na ukada wake wa kupewa vijipesa vya kubadili mboga, net worth ya familia na ukoo wake hawafikii thamani ya gari moja la first son au rafiki yake...Ndio maana Kalamu nimekuweka ulipo, sometimes unaandika kama hivi vitoto vya leo; halafu unataka watu waanze kujibizana ujinga.
Huyu Ritz labda humjui vizuri regardless ya ID zake zingine na nitashangaa kwa mkongwe kama wewe kama hamjui vizuri.
Ritz ni super kada ambae piga ua CCM; mimi na yeye tumepigana vita sana japo kuna wasaa tunapishana.
Japo jamaa ni kada fisadi wa kutupa kabla ya yeye kupotea 2016 alinipa njia. Mjomba hii vita ya JK tume pambana wote na hayupo tena hii vita ya Magufuli ni awamu ya wengine.
Kwa ushauri tu wa ukada kuishi kipindi cha Magufuli akaniambia namna ya kupata mashine ya kuchimba na kuuza kokoto Mtwara tuachie CCM nyingine (japo sikuhitaji huo msaada).
Ndio CCM faida ya ukada, CCM chama,
Ndio namcheka huyo taahira aliekuwa anajisifia kwa Ritz kuwa sijui ana bima ya afya; unajiuliza anamjua vizuri ni huyo jamaa ni fisadi wa level gani.
CCM chama, sasa aina maana mimi ni pro mafisadi kama rijizi Ritz
Kwani nimesema uongo?
Hivyo anapojitia ni kada mtiifu aelewe yeye ni masikini tu, hohe hahe, wenzake wana nyumba Oman, zanzibar, Dubai n.k-- nyumba za yule mtoto kwa zinazofahamika inafika bilioni 76 Tshs... na zipo pande tofauti duniani...
Unakuja kutuambia habari za Ritz ana mashine za kokoto...
Huyo ana bima inaweza ku cover matibabu yanafikia 150 Mils? au ndio atatembeza bakuli? au hukuelewa nachosema, maana inaelekea na wewe ni mkurupukaji.
Kama ni kada akae ajitafakari yeye ni choka mbaya tu... yaani baba levo na ujinga wake wote ananufaika chamani kuliko huyo Ritz , you get my point.