Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kuna video imeniumiza na kunisikitisha kupitia Grobal TV Online ambapo mama Kanumba anaeleza kwa uchungu sana jinsi mdogo wake Kanumba Seth alivyopata ugonjwa wa ajabu uliopelekea kupalalaizi kuanzia kiunoni mpaka miguuni.
Mama anaomba msaada wa gharama za matibabu ambazo anadaiwa pale Muhimbili na Wheelchair.
So sad, wakuu tutafte namna ya kumsadia japo bahati mbaya hakutoa mawasiliano yake.
UPDATE:
Seth amefariki dunia >TANZIA: Muigizaji Seth Bosco(Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo