Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Je!!mkojo wake hanywi?mwache ni aina ya mtu nae anataka kuwa wa pekee.

Mwambie aendeleze kipaji, wadhungu wakimwona watamchukua ataenda ulaya
 
Duh naomba nipite tuuuu. Huo sio ugonjwa ni something else!
 
This is too much of an exaggarated awkward story.
You are sick!
 
Mapendo jamani.... Amina.

Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.

Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............

1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.

2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.

3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.

4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.

5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.

Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..

Ndimi Mtumishi Mcharo

Mpeleke kwa Askofu mkuu wa Kanisa la uzima na Ufufuo.. GWAJIMA
 
unaleta utani kwenye majukwaa serious umeshindwa kuandika utunzi kwny vitu vingine mpk ututtapishe hapa?
 
hii ni kweli au its just a joke?

sijawahi ona wala sikia hii
 
Mapendo jamani.... Amina.

Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.

Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............

1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.

2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.

3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.

4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.

5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.

Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..

Ndimi Mtumishi Mcharo

Basi huyo atakuwa kachezewa na wasukuma wenzake toka huko huko Mwanza ili asifanikishe harakati zake, kwa kuwa wewe ni Padre, yakubidi umuombee atokwe na nguvu za giza.
 
pole sana kaka huyo atakua anatatizo la psychology so cha msingi mpeleke hospital akaonane na madaktar wa magonjwa ya akil atasaidiwa tatizo lake usichelewe

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom