Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

Ugonjwa wa akili huo!!! Muwahisheni hospitali.
 
Chizi hilo mrudishe mwanza ila pitia mielmbe pale dodoma apate tiba kwanza.
 
Mapendo jamani.... Amina.

Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.

Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............

1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.

2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.

3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.

4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.

5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.

Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..

Ndimi Mtumishi Mcharo
Ok, nakushauri mpeleke hospital akachunguzwe, kisha ujue tatzo n nn, usipopata tatzo, mpeleke kanisani aombewe. Lakini angalia na makanisa utakayompeleka.

With thanks
 
Mkimbize kwa Gwajima haraka.Huyo Ni msukule tayari.


Nipe ushauri mwingine tuu.....
Mimi mwenyewe mtumishi.... halafu nimpeeke kwa mtumishi tena, kujidhalilisha huko
 
Back
Top Bottom