Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Watu wa Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetengeneza mapichapicha yako disgusting ili watu wapate kinyaa.. Bwege wewe.
Pole kama ni kweli
Du dalili kama za mgonjwa mwenye BINGE.
Hakuna mtu anaweza kuwa na abnormality zote hizo kwa pamojaaaaaaaaaa..... Kama yupo huyo ni alien sio wa dunia hii. Ila nitakuwa wa mwisho kuamini Hilo.ndio ushauri wako ama.... nishauuri mkuu
Mpeleke bugando pale mtafute superspecialist MAKOJIJO atamtibu.BINGE ndio ugonjwa gani
Dalili ya mapepo, mpeleke kwa mtumishi Gwajima.
Ok, nakushauri mpeleke hospital akachunguzwe, kisha ujue tatzo n nn, usipopata tatzo, mpeleke kanisani aombewe. Lakini angalia na makanisa utakayompeleka.Mapendo jamani.... Amina.
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume (15 years) ametoka Mwanza amekuja Dar kusoma short course ya Sound Engineering pale Ilala.
Sasa tangu amefika nimeona mambo ya kiaina mpaka nashangaa...
Ni hivi............
1. Anapenda kula matapishi yake. Yaani akimaliza kula chakula, anaingiza kidole mdomoni anajichokonoa anatapikia kwenye sahani then anaanza kula matapishi hadi anamaliza.
2. Anapenda kujichokonoa uchafu na makamasi ya pua, halafu analamba kidole.
3. Anapenda kuchokonoa nta za masikio kwa njiti za kibiriti then analamba vijiti.
4. Ukimpa chai lazima atemee mate kwenye kikombe ndio aanze kunywa.
5. Akimwona mtoto ana makamasi puani anamkimbilia na kunyonya makamasi yale mpaka yanaisha.
Nimegundua hayo baada ya kukaa nae kwa takribani week mbili sasa.
Wakuu, huu ni ugonjwa ama nini.. Nifanyeje.... Nimpeleke hosp, nimpe nauli arudi Mwz ama..
Ndimi Mtumishi Mcharo
Mkimbize kwa Gwajima haraka.Huyo Ni msukule tayari.