n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mshauri aoe mcha Mungu, siku hizi mabomu yapo kwenye kila kabila umakini unahitajika sanaWakuu sisi ni wamasai.
Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.
Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana.
Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??
Tumshauri.