The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Ukabila sio ule kama wa wakenya,na hii sio ukabila wala usichochee ujinga,Ivi watanzania swala la ukabila litaisha lini?
Kabila la mwanamke na tabia ni mambo yasiyoachana,mwanamke wa kirangi,digo,mhaya,mnyaturu ,mmachame ,wasambaa,wa kusini hawawezi wa kawaida kawaida utakutwa tu jambo zito