Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Kitu pekee dada zangu hawapoi ni kwenye mdomo tu, usipowajibika unapigiwa mdomo 24/7
Wanyakyusa wanaongea mno, angalia humu jf wanawake wa kinyaki wana midomo sana

Sema watafutaji, mwanamke wa Kinyaki hauwezi kumwendesha eti kwa sababu wewe ndio unaleta riziki nyumbani

Ndio maana hata mkiachana kila mmoja anashika njia yake, wako wanajiamini sana kwenye utafutaji

Ila wanawapanda sana waume zao daah! Anakuwa kama mtawala kwenye nyumba
 
Aah kwa mimi siwez mshauri mtu aoe mmbena
Ukipigwa na kitu kizito na mmoja sio kwamba ni wote wapo hivyo mkuu, ila wabena wengi wao ni wanawake bora wanaweza kuvumilia mikiki ya ndoa na niwachapa kazi na unaweza kuanza nao maisha katika hali yoyote ya kiuchumi bila kebehi ,dharau na masimango na ukatoboa bila stress.
 
Back
Top Bottom