Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Tunao huku mtaani mkuu!

Mnyakyusa hatawaliki ndani, yani yeye anapenda awe juu!

Yani ukiona ndoa ya mwanamke wa kinyakyusa inaenda fresh jua mwanaume kajifanya bwege.
Mkuu mwanaume ukiwajibika kwa kadri inavyotakiwa kwenye ndoa yako sidhani kama mwanamke atataka kuchallenge nafasi yako.

Nawapa pole hao wanaoletewa ubabe pengine wanastahili, wanawake wa kinyakyusa hawataki wanaume wanaoishi maisha ya kibachela kwenye ndoa
 
Wanyaki ni watu wa hovyo sana!

Umbeya, unafiki roho mbaya na hupenda kuwatawala wanaume.

Chunguza katika wanawake 10 wa kinyaki 8 utakuta single mothers waume wamewakimbia au kama wana waume basi mume anaendeshwa kama gari bovu.

Wanyaki wanawake wa hovyo sana huku wakijificha kwenye maombi na kunena kwa lugha
Mkuu pole sana,🤣🤣🤣una uhakika huyo aliyekutenda alikuwa mnyaki kweli?
 
Wanapenda kujitenga kama nyama za mishikaki
Hili si kweli, nenda Kyela uone makabila mengine wanamiliki ardhi kwa kiasi gani, ukienda wa upande wa Busokelo nenda uone muingiliano wao na wakinga upo kwa kiasi gani, labda tu nikuambie mpaka miaka ya 2000 bado barter trade ilikuwa inaendelea unyakyusani baina yao na wakinga, leta ngano nikupe ndizi.

Nimegundua hili kabila limefanyiwa upotoshaji mkubwa sana huku mjini
 
Sawa shemeji.
 
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
Licha ya kuwa wakorofi, je huyo mwanamke ni mzuri maana twajuwa wanawake wa Kinyakyusa walivyo usoni. Usikute ana sura ya zombie kiasi kwamba wageni wakija kwake wanakimbia kumuogopa kunyonywa damu. Kingine, wanawake wa Kinyakyusa wanaongoza kiuchawi na hawafai kabisa, wao inabidi waolewe na kaka zao tu na si vinginevyo.
 
OK. Huyu kakulia mjini.

Yuko vizuri tu. Uzuri wa kawaida .
 
OK. Huyu kakulia mjini.

Yuko vizuri tu. Uzuri wa kawaida .

OK. Huyu kakulia mjini.

Yuko vizuri tu. Uzuri wa kawaida .
Mnyakyusa hata akulie wapi.....sura ni ile ile tu....unless yuko mixed na kabila lingine. Ni sawa tu na Mchagga au Mpare, hawa watu hata wakulie wapi watabaki tu kuwa 'Majinamizi ya Talaka', hawafai kuolewa kamwe.
 
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
Tunamshauri vipi Mkuu?
Au sijakuelewa? Ushauri utamfikiaje Sasa!
 
Sasa wanyaki si ndio ma wife material kabisa boss?? Heshima, adabu, utii ndio nyumbani . Hata ile siku ya pete wanawake ndio huwa tunapiga goti.
mmh wanyaki wa wapi hao wako ivo? au wa Burundi?
 
Back
Top Bottom