Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
sio kweli wana ukorofi gani? inategemea ntu na ntu, nina mnyakyusa wangu mwaka wa nane huu
 
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
Ero Maasai, subhai? Sasa kanyo yeye nataka oa ndito ya rumeki? Kwani ile ndito ya el Maasai nakwisa? Kama nataka dumisha mila yetu tafutia yeye ndito moja sidai tukulu hapo nyumbani. Achana kabisa na hiyo syangigi ya rumeki. Taisele.
 
Iphaa.

Ashe naleng. Haya taa kiduwaa taisere.

Raga sere.
 
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
Na nyie wamaasai na tabia zenu za kubeba marungu, sime, mikuki na mswaki wa kijiti mdomoni hamtakubaliwa na wanyakyusa wasomi wasiotembea na silaha, nyie saizi yenu ni wamang'ati.
 
Wanyakyusa hawaachani kwa taraka, huwa mwanaume anaamua kuondoka kimya kimya.

Wanawake wa kinyakyusa ni wababe sana, huku wakijifanya ni walokole sana
Hivi hii dhana ya wanyakyusa wababe mmeitoa wapi mkuu? Wanawake wa kinyakyusa hawataki mwanaume mvivu na laini laini, wanataka mwanaume anaeusimamia uanaume.

Fuatilia ndoa za mwanamke wa kinyakyusa na makabila yenye "mfumo dume" kama wasukuma zinavyoenda fresh kabisa.

Kitu pekee dada zangu hawapoi ni kwenye mdomo tu, usipowajibika unapigiwa mdomo 24/7
 
Na nyie wamaasai na tabia zenu za kubeba marungu, sime, mikuki na mswaki wa kijiti mdomoni hamtakubaliwa na wanyakyusa wasomi wasiotembea na silaha, nyie saizi yenu ni wamang'ati.
Tuko vizuri kwa hilo wala usiwe na shaka.

Siku hizi hata sisi tumeenda shule na tunawakimbiza kama kawaida.
 
Yaan mtu anajipa utakatifu yeye binafsi kwa kuchafua wengine.... inabidi kuwaongezea juhudi ya kwenda huko waonapo ni salama

Wale wote ndoa zinawashinda na kuwasumbua nadhani wameoa Wanyakyusa.
kuna rafiki yangu dada wa kinyiramba huwa anasema ukitaka kuoa usije kwetu hatujatulia, kwanza kuachana sio habari mpya.
 
Hivi hii dhana ya wanyakyusa wababe mmeitoa wapi mkuu? Wanawake wa kinyakyusa hawataki mwanaume mvivu na laini laini, wanataka mwanaume anaeusimamia uanaume.

Fuatilia ndoa za mwanamke wa kinyakyusa na makabila yenye "mfumo dume" kama wasukuma zinavyoenda fresh kabisa.

Kitu pekee dada zangu hawapoi ni kwenye mdomo tu, usipowajibika unapigiwa mdomo 24/7
Tunao huku mtaani mkuu!

Mnyakyusa hatawaliki ndani, yani yeye anapenda awe juu!

Yani ukiona ndoa ya mwanamke wa kinyakyusa inaenda fresh jua mwanaume kajifanya bwege.
 
Back
Top Bottom