Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
Kwenye tano bora za wake wa kuoa, ni hawa
1.wasandawe
2.Wasafwa
3.wabena
4.Wanyakyusa
5.Wasukuma.

Oa, ni wachamungu, wasikivu, wachapa kazi, wanyenyekevu na utiina waaminifu.
Na hawana historia ya kuua waume zao
 
Back
Top Bottom