Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
inategema huyu binti kakulia wapi au tuseme kakua katika mazingira gani kama wanaendana waache tu ,maana hakuna aliemkamilifu
 
Sasa wanyaki si ndio ma wife material kabisa boss?? Heshima, adabu, utii ndio nyumbani . Hata ile siku ya pete wanawake ndio huwa tunapiga goti.
Wanyaki ni watu wa hovyo sana!

Umbeya, unafiki roho mbaya na hupenda kuwatawala wanaume.

Chunguza katika wanawake 10 wa kinyaki 8 utakuta single mothers waume wamewakimbia au kama wana waume basi mume anaendeshwa kama gari bovu.

Wanyaki wanawake wa hovyo sana huku wakijificha kwenye maombi na kunena kwa lugha
 
Nimescreen shot itamfikia dogo.
 
Mwambie aoe mkuu, achana na stori za kwenye gahawa. Dada zetu wapo safi sana, fuatilia hata rate ya talaka mkoa wa Mbeya uone ni kiasi gani ukilinganisha na hiyo mikoa ya hao uliowauliza wakupe ushauri.
Wanyakyusa hawaachani kwa taraka, huwa mwanaume anaamua kuondoka kimya kimya.

Wanawake wa kinyakyusa ni wababe sana, huku wakijifanya ni walokole sana
 
Back
Top Bottom