kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Kama ni wa mwakaleli yaan wale weupe mwambie akimbieWakuu sisi ni wamasai.
Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.
Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.
Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??
Tumshauri.