n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Feb 12, 2025 #181 Stroke said: Wakuu sisi ni wamasai. Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa. Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana. Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti?? Tumshauri. Click to expand... Mshauri aoe mcha Mungu, siku hizi mabomu yapo kwenye kila kabila umakini unahitajika sana
Stroke said: Wakuu sisi ni wamasai. Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa. Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu (ila bado sijathibitisha) ni wakorofi sana. Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti?? Tumshauri. Click to expand... Mshauri aoe mcha Mungu, siku hizi mabomu yapo kwenye kila kabila umakini unahitajika sana
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Feb 13, 2025 #182 Kelsea said: Wachawi wapo kila sehemu bwana kama huyo wako alikua mchawi ni huyo na wala sio wote. Click to expand... Mnalisha dawa wanaume , mnapenda kujitenga , mna roho mbaya . Hizo ni common traits zenu
Kelsea said: Wachawi wapo kila sehemu bwana kama huyo wako alikua mchawi ni huyo na wala sio wote. Click to expand... Mnalisha dawa wanaume , mnapenda kujitenga , mna roho mbaya . Hizo ni common traits zenu
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,564 Reaction score 34,341 Feb 13, 2025 #183 Kunguru wa Manzese said: Mnalisha dawa wanaume , mnapenda kujitenga , mna roho mbaya . Hizo ni common traits zenu Click to expand... Sawa wewe mwenye roho nzuri.
Kunguru wa Manzese said: Mnalisha dawa wanaume , mnapenda kujitenga , mna roho mbaya . Hizo ni common traits zenu Click to expand... Sawa wewe mwenye roho nzuri.