Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Ndoa ni ndoano😅😅 ila ina faida, maana unaweza kuta umeolewa na wachawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ni ndoano😅😅 ila ina faida, maana unaweza kuta umeolewa na wachawi
🤣🤣🤣Ukichunguza sana Bata hutomla
Hii ni chai ukisoma maelezo utaelewa.[emoji706]Hamkuwa waoaji nyie mngekuwa waoaji msingeanza kupekenyua hivo ukoo wa huyo dada...unaenda kuoa wewe unaanza kupambana kuwajua watoto wa shangazi au shangazi alizaaje haingii akilini
Story yako fupi saana ila umejaribu kurefusha mwisho hata wewe hujaielewaHabari wana FF.
Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years.
Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake.
Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba yake yeye ni mtoto wa 4 kutoka mwisho it's means wapo 5 kwa baba, ila kwa mama yake ni wa 3. Inamaana kwa mama yake wapo wengine 2 juu yake ambao ni wakiume.
Dogo akaona fresh tuu haina shida.
Sasa mwanzoni mwa mwaka huu. Dogo alieleza kuwa anahitaji kuoa wazazi wetu wakamshauri jitahidi kujua familia yake huyo dada vizuri.
Ujue kwa Baba yake wapo wangapi yani Baba mkubwa, baba mdogo au mashangazi.
Na maisha wanayoishi na ni watu wa aina gani.
Na hata upande wa mama.
Kwa sababu kuna wengine wanakuwa na matatizo flani ya kurithi jitahidi ujue. Mdogo wangu akasema sawa.
Sasa katika kumuuliza zaidi dada yule na kufuatilia akaja kujua Baba yake ni mkubwa, its means ana Baba mdogo wake.
Dogo bhana akataka kumjua Babamdogo wake binti, binti akamwambia kuwa yupo hapa hapa mjini.
Dogo akamuuliza anaishi wapi, si anafamilia kabisa.
Binti akasema kuwa ndio.
Sasa mdogo wangu akataka kujua kama anawatoto maana home walimwambia ni vizuri ukawajua hata hao watoto wa mashangazi na baba mkubwa au mdogo.
Yule binti akamwambia ndio baba mdogo wake anao 2 wa kiume. Dogo akasema sawa, ila akamwambia nitafurahi nikiwajua watoto wake na wewe ndugu zako upande wa Baba yako, binti yule akasema sawa.
Mdogo wangu akataka kumjua kwa nini mama yake hayupo kwenye ndoa, maana tunaamini taswira ya mama ndo ya binti mwenyewe. Binti akawa kama anasita hivi. Akamwambia mbona kimya hivyo si useme tuu. Akamwambia kuwa walitofautiana tu mengine mimi sijajua.
Ila baadae dogo akamwambia kuwa inamaana mama yako alizaa na mwanaume zaidi ya mmoja maana uliniambia kwa mama mpo 3 na wewe ni wa mwisho. Akamwambia ndio. Ndogo akasema kwa Baba yako ni wa 4 kati ya 5, akashituka akaona mzee wake alichepuka hapa.
Dogo baada ya kufikilia sana akaanza kuisi inawezekana ndoa ilivunjika baada ya mama yake kuzaa nje.
Dogo akauliza majina ya kaka zake waliozaliwa pamoja na mama yake ili awajue. Alivyosikia majina akaona majina ya mwisho yanafanana kasoro majina ya kati tuu.
Akamuuliza mbona majina yenu ya mwisho yanafanana , binti akamjibu sisi ni ndugu. Ila binti alionyesha kukosa ujasiri kabisa. Akamuuliza tena kwani Baba yao hawa kaka zako, mzee wao aliwakataa mpaka mbadilishe majina, akasema hapana.
Dogo hakuelewa akaja kuniuliza mimi, mimi nikamwambia hivi ngoja tutafute majina ya Baba yake dada huyo, na majina ya Baba yake mdogo (majina la Baba wa kaka zake). Tukaja kuona kuwa majina yao ya kati na mwisho yapo sawa.
Mimi nikamwambia kuwa basi kama ni kweli yapo hivyo. Basi mama yake alizaa na shemeji na ndoa ikavunjika.
Mimi nikamwambia fuatilia kwa kumuuliza dada huyo ili tupate umbea ilikuwaje.
Akaja kujua kuwa Baba yake mdogo alisafiri miaka ya 90 huko akaenda nje kusoma alikaa kama 2 years hivi. Alivyorudi alimkuta mkewe anaujauzito wa miezi 8 ambaye ni huyo dada. Ila yule Baba akasema tuu sawa. Ila akataka kumjua ujauzito wa nani?
Katika kumuuliza mama bhana akasema ( japo mimi naamini alifanya kosa mama kumtaja shemeji) , kwa nzia siku ile ndoa iliisha hapo. Nasikia alimwambia tuu bola ungezaa na mwingine, waligombana na kaka yake na hata ukaribu na kaka yake ulikufa mpaka leo.
Dogo akaamua kupiga chini akaona hii ni laana yani, mama yako alizaa na shemeji yake.
Nikaona daaa,
Alisimulia home ila dogo.
Chai sijui supu Ila hakuna waoaji hapo dunia ya leo hakuna ukoo ambao unawatu wa ajabu kabisa so jamaa mpaka hapo ndoa haiwezi afuate ratiba zingineHii ni chai ukisoma maelezo utaelewa.[emoji706]
Chai sijui supu Ila hakuna waoaji hapo dunia ya leo hakuna ukoo ambao unawatu wa ajabu kabisa so jamaa mpaka hapo ndoa haiwezi afuate ratiba zingineHii ni chai ukisoma maelezo utaelewa.[emoji706]
Kijana 27 years bado hafikia umri wa Kuoa! Asubiri afike angalau 35 yearsYani hapo hajaoa anampekua hivyo?akioa je?mwambie huyo Jamaa yako Mpaka hapo hawezi Ndoa afanye mambo mengine .
Nakuusia, kwenye kuoa, upande wa mwanaume sahau kuhusu mambo ya kupenda kabisaaa yaani kabisa. Hicho tu, watu wanapenda mdada anamweka mchepuko ila kuoa anaoa mwingine, hapo wadada mjitafakari.Ukimchunguza sana bata
Ingekuwa hivi watu wasingeolewa woii huyo ndugu yako alikuwa sio muoaji na alikuwa hampendi dada wa watu, alikuwa anatafuta sababu hivi unajua ukimpenda mtu hata usikie nini
[emoji1787][emoji1787] Huyo unayemuusia sasa ni mzee nishavuka huko mkuu wausie mabinti sio kibibi gagula mimiNakuusia, kwenye kuoa, upande wa mwanaume sahau kuhusu mambo ya kupenda kabisaaa yaani kabisa. Hicho tu, watu wanapenda mdada anamweka mchepuko ila kuoa anaoa mwingine, hapo wadada mjitafakari.
😆 😆 😆 hamuishi vituko....