sio kila mtu ni mswahili au amekulia kwenye uswahili wa kujua kiswahili, kumbuka hatujuani humu, si kila unaechat nae kila siku au miaka yote anaongea au kuandika lugha uijuayo wewe, nilipo kiswahili hatuongei yapata miaka na miaka
si metacha tu, wachezaji wote wa Yanga wanahukumiwa kwa ubora wa wachezaji wa simba ,sarpong anafananishwa na boko na kagere, mnata wanataka awe kama manula, kibwana shomari awe kama shomari kapombe! poleni sana Yanga