Duh mkuu you're projecting your fears and failure (maybe) as a father onto other people,Kama binti yako amekudissappoint mahali sio mabinti wote wanakua hivyo, Kuna mabinti wengi tu ni wasikivu wakiambiwa jambo wanasikiliza,wanaheshimu wazazi wao, wanajitambua na wanajua kujisimamia,usimtabirie mabaya huyo binti wa shetta.Achana na hiyo negative mentality.Mimi binafsi naweza kusema mahusiano mazuri na mzee wangu yamenifanya niwe grounded zaidi Kuna vitu siwezi kufanya kwasababu tu najua yataharibu mahusiano yangu na mzee wangu na yatamuumiza Sana .Pole Kama binti yako alikuangusha hakuna mwalimu wa malezi.