Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku mara north pole mara South Pole.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujaelewa mada mkuu hatuzungumzii kuhusu mtoto wa Shetta. Tunazungumza namna balehe inavyo weza kumfanya mtoto wa kike kubadilisha mfumo wake wa maisha juu chini na kutoka nje ya road map ambayo baba ake mzazi anakuwa amemchorea.

Usiutazame Uzi huu katika taswira ya Shetta na mtoto wake, utazame katika taswira ya wewe na mtoto wako
Uzi huu ungeuweka kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko ungesababisha vita humu jukwaani maana umebeba ukweli mchungu, na lile jukwaa lina wadau wengi wengi sana.
 
Duh mkuu you're projecting your fears and failure (maybe) as a father onto other people,Kama binti yako amekudissappoint mahali sio mabinti wote wanakua hivyo, Kuna mabinti wengi tu ni wasikivu wakiambiwa jambo wanasikiliza,wanaheshimu wazazi wao, wanajitambua na wanajua kujisimamia,usimtabirie mabaya huyo binti wa shetta.Achana na hiyo negative mentality.Mimi binafsi naweza kusema mahusiano mazuri na mzee wangu yamenifanya niwe grounded zaidi Kuna vitu siwezi kufanya kwasababu tu najua yataharibu mahusiano yangu na mzee wangu na yatamuumiza Sana .Pole Kama binti yako alikuangusha hakuna mwalimu wa malezi.
At last tumepata binti/Mmama alietupa faraja kwa kutoa mfano hai, sisi wababa wenye watoto wa kike uzi huu umetu-frustrate sana!
 
God forbid!!
Ill tatizo unajua lipo wapi? Siasa na ushirikina goes hand in hand.

Wafanyabiashara na wanasiasa wengi wana abudu katika madhabahu za KISHIRIKINA.

Moja kati ya mambo ambayo huelekezwa katika madhabahu hizi ni pamoja naπŸ‘‡

Kutembea na watoto wa kike wadogo ( under age girls ) kwa lengo la kuchukua nyota zao kupitia " ibada" ya tendo la ndoa.
Hii ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom