Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Hama nyumbani mzee kama mdogo wako yuko form 4 na umemzid miaka 6 kuendelee kukaa nyumbani ni umama ndo mana kakuchana uache tabia za kike
 
Hama nyumbani mzee kama mdogo wako yuko form 4 na umemzid miaka 6 kuendelee kukaa nyumbani ni umama ndo mana kakuchana uache tabia za kike
Huyu mwana mama hakuelewi na hawezi kuelewa
 
Unaon
Unaonekana ni muhanga wa mimba za utotoni ndo maana unaonagere wenzio wakilindwa, pambana kiherehere chako ndo kimekufikisha hapo ulipo
 
[emoji23][emoji23]tia makofi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
20 years yupo form four duuuh!!!
 
Unaon

Unaonekana ni muhanga wa mimba za utotoni ndo maana unaonagere wenzio wakilindwa, pambana kiherehere chako ndo kimekufikisha hapo ulipo
Ndo maana amekutukana!
 
Haiwezekani hiyo kwa sababu nishajenga heshima kwa kutomuuliza tuhuma za kikubwa, hivyo hawezi pata ujasiri wa kuniuliza swali la kikubwa namna hiyo
Miaka thelathini jela??? mbaya zaidi wale mananiliu wale wajela mnawaitagaje vile !.........yale bana hayanogewi mbele ya kike....ni kupiga makao tuuu!...tena unaichungulia jela kabisaa ya ivo ninavo kuona weye!!... .....make huna kitu kwa head!...ndo utajua mwanamke haguswi kifara!

Sasa hiyo arobaini yako plus 30 =70 duuu!! hivi hujihurumiii wewe mtu??? .... ndude yake inakuuma nini?? wacha itumike si ndo kazi yake?? km siyo kuitaka? mtu ni beyond 18 yrs!
 
Nani kasema mwanamke hsguswi kifala? Kwani ye' nani mpaka asiguswe? Anaguswa tu afu fresh yaani! Nishagusaga saaana, hao watetezi wa wanawake wangeanza kunifunga mm kwanza
 
Waschana umri huo mwache ukiwa ushamwambia. Mm naishi na mtoto wa ndugu yangu yupo 17 yrs keshashindikn nishamnyanganya simu 6 na jna nimechukua ya 7 kuanzia simu ya 5 hadi ya 1 nlikuwa namchapa sana ila siku hizi tukimkamata nachukua simu natunza namwangali tu
 
Nani kasema mwanamke hsguswi kifala? Kwani ye' nani mpaka asiguswe? Anaguswa tu afu fresh yaani! Nishagusaga saaana, hao watetezi wa wanawake wangeanza kunifunga mm kwanza
ooohoo! subiri .....iko siku !!! zako zina hesabika...wachezee hao! hao!!! wana kijiji tu!! km mie muongo mtafute Maumba yuko humu kesharudi!
 
ooohoo! subiri .....iko siku !!! zako zina hesabika...wachezee hao! hao!!! wana kijiji tu!! km mie muongo mtafute Maumba yuko humu kesharudi!
Sasa nawachezeaje wanakijiji wakati naishi DSM Masaki? Km DSM kuna wanakijiji sawa
 
Acha mambo ya kike uwe kama mwanaume yaani kukashfiwa na mdogo wako wa kike unavurugwa hadi kuja kushtaki huku.
 
Hili jukwaa lina kila aina ya binadamu na wanyama kuh nilidhani wote ni great thinkers
Huwezi kupata great thinker kwenye mada iliyoandikwa with low thinking mind [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mikanda tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…