Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Ukiachilia mbali kushindikana kwake ila kakwambia jambo kubwa sana hapo ambalo unapaswa kulitafakari na kulichukulia kwa uzito. "Kuwa kama mwanaume". Lazima kuna mahali utakuwa unakosea hivyo hakupi heshima unayostahili.
 
JF pamekuwa pa hovyo sana siku izi yani mamluki wengi kweli..mnamshauri ujinga tu mtoa mada. Sometimes sio lazima kuchamgia kama huna cha kucoment kaeni kimya tu uzi upite bure...
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.
Fanya kama alivyokushauri, acha kumfatilia kwasababu swali la nini afanye, nini asifanye lipo MIKONONI MWAKE. Hivyo anaona kama unazingua tu.

Kuna wale wadada wanalindwa sana shule za bweni za wasichana.. wakimaliza kuja vyuoni huku mhula wa kwanza tu keshapita na 'boyfrendi' wawili, wengine mhula wa kwanza tu ameshaishi na jamaa yake geto. Binafsi sionagi dhima ya kumlinda mtoto wa kike aliyefika utu uzima. Kama ulishindwa kumfunda akaelewa akiwa kitoto imeisha hiyoo.
 
Pole sana, katika vitu viavyoumiza ni kaka kukubali kuwa mdogo wake kashaanza hayo mambo na huenda mtu ambae yupo nae uahisi sio sahihi kwake. Sasa iko hivi, mtoto wa kike akiwa anakua miaka 14 - 25, yani wengi huwa moto. Ukimgusa tu kuhusu maswala ya mapenzi, kutumia kinga na vitu vyote ambavyo ni beneficial kwake anakua hakuelewi na atakuchukia, hii haina maana kwamba hakusikii sema hisia zake zinakua zina mcontrol to the extend anakua hajali au kufikiria kitu cha kuongea.

wewe umeshafanya part yako, sasahivi kilichobaki wewe muombee tu, ila mkaushie, usimfatilie wala nini, sasahivi ndio yupo kwenye ile stage ya kupenda bad boys siku si nyingi atalizwa, akishalizwa mara 5 - 20 hivi utamuoa mwenyewe anabadilika. Atatulia aanze kujua kua alikua anazingua, anaweza asikuombe msamaha milele lakini hii moment itakua inamuumiza sana akili zake zikishakaa sawa.

Ila mkaushie, muombee tu asije bebeshwa mimba, yan m treat kama jirani. msalimie asubuhi, mpe pesa za matumizi, akizingua mamb ya shule wewe tulia tafuta jibu moja tu ambalo litamfanya atafakari wakati anazingua basi. Yani unaweza ukatupia tu kama story wakati mnakula kuwa aisee watoto wasikuhizi awapendi kinga ila wakipata mimba wanavyokimbiwa na ambavyo wakaka awataki kuoa ma single mother ni shida. Akikaa mwenyewe atakua anatafakari .

Ikitokea aka ku disrespect tena, mpige kibao, na umwambie next time akirudia unamtimua kwako. Ukimkuta kaleta mwanaume kwako watimue wote yeye na uyo mwanaume wake, ani ajue kabisa kua hu entertain upuuzi waaina yoyote.
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.

Sasa leo nimekuja hapa home nimekuta wanamsema huyu mdogo wangu, kuhusu tabia za kihuni. Mimi kama kaka mwenye uchungu na kuharibikiwa
Nipe namba yake mkuu nimkanye ukicheka nae utavuna mabua
 
Daaah ila sio kunitukana tusi kubwa kama hili

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kama amevuka 18yrs humuwezi, keshajua kila kitu, niacheni akafundishwe dunia, vidume vinamchanganya, hao wanaomkanya wapo sahihi. Mm Nina beki 3, ana 17 yrs saa hizi ananiaga kaitwa mahali Ila nisimwambie wife km anatoka, Leo Mara ya 3 anaenda pigwa, Sasa ndio nitetemeke?
 
km amevuka 18yrs humuwezi, keshajua kila kitu, niacheni akafundishwe dunia, vidume vinamchanganya, hao wanaomkanya wapo sahihi.
Mm Nina beki 3, ana 17 yrs saa hizi ananiaga kaitwa mahali Ila nisimwambie wife km anatoka, Leo Mara ya 3 anaenda pigwa, Sasa ndio nitetemeke?
Huyo housegirl ukimuomba hatakataa.
 
Ashaonja joka la mdimu uyo hapo haskii wala haambiliki. Mm nshakubaliana na Karma. Najua nnavyozibenjua bikra hiz na naona mademu wanavyopoteza ufahamu wakishakula tango for 1st time. Hapo mmkanye na mpite kushoto...
 
Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.

Kuacha mambo ya kike ni pamoja na kumzabua makofi mawili ya masikio ili akae sawa Mkuu..

Ila kama jibu lake limeishia tu kukunyong'onyeza Basi una mambo ya kike kweli mkuu..
 
Back
Top Bottom