Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kashajiona mkubwa huyo hasikii wala haambiwi kitu, pole sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo!!! Daah sijaona ushiriki wako mda!!Miaka 20 unnamshauri nini?
Huyo ni mtu mzima..
Unam treat mtu wa miaka 20 kama ana miaka 12..?
Matusi umejitakia..
Vijijini huyo ni mama wa vikoba na analima shamba lake mwenyewe
Hilo tusi alilokutukana ni sehemu ya ushahidi kwamba kweli mdogo wako huyo ameanza kujihusisha na 'uhuni'.Huyu mdogo wangu yupo kidato cha nne, ninampenda sana na nimekuwa kama mshauri wake hususani kwenye issues za kujikinga na mahusiano kwa ujumla. Humfundisha mbinu za kuepuka vishawishi vya wanaume, kumpa madhara ya mimba na kumsisitiza asome kwa bidii. Kifupi tunapendana.
Tutake radhi mkuuItakuwa binti wa usukumani huyo,kule shule wanasoma mpaka wazee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee! Beki 3 atakuwa kacheka sanaaa, we mvizie muulize " unacheka una maana gani?"
[emoji16][emoji16][emoji16]Unatetemeka sababu unamuogopa,,
Wenzako tunatetemeka mtu akishapoteza fahamu!!!
Alipata mimba amerudishwa na mama!Labda alirudia rudia 😂
Sio ameanza ,, Kesha Bobea tayari na Wahuni Wana mkunja haswaaaHilo tusi alilokutukana ni sehemu ya ushahidi kwamba kweli mdogo wako huyo ameanza kujihusisha na 'uhuni'.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
HahahahhaahahahhaPole sana mkuu, ingekuwa mdogo wangu saivi angekuwa amelazwa hospital akipigania uhai wake
Ahsante kaka, ungenipa hints za ushauri basi kama hutojaliJF pamekuwa pa hovyo sana siku izi yani mamluki wengi kweli..mnamshauri ujinga tu mtoa mada. Sometimes sio lazima kuchamgia kama huna cha kucoment kaeni kimya tu uzi upite bure...
Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Beki 3 atakuwa kacheka sanaaa, we mvizie muulize " unacheka una maana gani?"