Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Hata kama ametumia mbinu isiyosahihi, ila nadhani kuna jambo inabidi ulitafakari.
Jukumu la kaka mwenye miaka 26 kwa dada mwenye miaka 20 sio kumwambia nini cha kufanya, ni kumshauri kisha maamuzi anafanya mwenyewe.

Mdogo wako wa kike ana mengi ya kushauriwa, ila mengine mengi anayajua kwa umri huo.
Sawa

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hapana, nimetembelea kwa washua leo nikakuta anasemwa.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Hapo alighafilika tu basi kama ulimkuta anasemwa ina maana hakuwa katika mood nzuri wala usimuhukumu.

Ni sawa na wewe mtu kakuvuruga mnataka mzichape af aje demu wako ghafla aseme nakupenda Jax unaweza hata ukamsukumizia mbali ila sio kuwa humpendi, mood tu!
 
Back
Top Bottom