Pole sana, katika vitu viavyoumiza ni kaka kukubali kuwa mdogo wake kashaanza hayo mambo na huenda mtu ambae yupo nae uahisi sio sahihi kwake. Sasa iko hivi, mtoto wa kike akiwa anakua miaka 14 - 25, yani wengi huwa moto. Ukimgusa tu kuhusu maswala ya mapenzi, kutumia kinga na vitu vyote ambavyo ni beneficial kwake anakua hakuelewi na atakuchukia, hii haina maana kwamba hakusikii sema hisia zake zinakua zina mcontrol to the extend anakua hajali au kufikiria kitu cha kuongea.
wewe umeshafanya part yako, sasahivi kilichobaki wewe muombee tu, ila mkaushie, usimfatilie wala nini, sasahivi ndio yupo kwenye ile stage ya kupenda bad boys siku si nyingi atalizwa, akishalizwa mara 5 - 20 hivi utamuoa mwenyewe anabadilika. Atatulia aanze kujua kua alikua anazingua, anaweza asikuombe msamaha milele lakini hii moment itakua inamuumiza sana akili zake zikishakaa sawa.
Ila mkaushie, muombee tu asije bebeshwa mimba, yan m treat kama jirani. msalimie asubuhi, mpe pesa za matumizi, akizingua mamb ya shule wewe tulia tafuta jibu moja tu ambalo litamfanya atafakari wakati anazingua basi. Yani unaweza ukatupia tu kama story wakati mnakula kuwa aisee watoto wasikuhizi awapendi kinga ila wakipata mimba wanavyokimbiwa na ambavyo wakaka awataki kuoa ma single mother ni shida. Akikaa mwenyewe atakua anatafakari .
Ikitokea aka ku disrespect tena, mpige kibao, na umwambie next time akirudia unamtimua kwako. Ukimkuta kaleta mwanaume kwako watimue wote yeye na uyo mwanaume wake, ani ajue kabisa kua hu entertain upuuzi waaina yoyote.