Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Sio chai tafadhali

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Was a joke... anyway, kosa lako ni kusahau kwamba huyo binti tayar amekua na possibly akawa na mwana ambaye yupo age sawa na wewe kabisa. Punguza sana kumfatilia, zungumza nae pale inapobidi ila sio Kila mara ndo maana hata anaona unamkera. Muache kwanza muda utafika atajutia alilokukosea na atakuomba radhi.
Pole sana... Kuwa na mdogo wa kike ni balaa mzee
 
Ubaba ni ubabe
Ukaka ni ubabe mchanga.

Kama angejua Wewe ni mbabe na mkorofi wala asingethubutu kujibu mashudu, Kwanza kufika kwako hapo angeona anabahati Mbaya.

Tatizo Vijana wa siku hizi mnajifanya mnabusara zilizopitiliza Hali inayofanya mnafanana na wanawake.

Hii kesi isingekuwepo kabisa,

Kama hujawahi kupiga mtu akazimia au kupelekwa serikali za mitaa au mahabusu unafikiri mtoto wa kike atakuheshimu?

Atakuona umwoga.
 
Chezea Utamu wa Dushe!![emoji23][emoji23][emoji23],Ameshaonja tayari huyo, hawezi kukusikia wala kukuelewa.
 

Vijana wa siku hizi ni waoga mno.

Embu fikiria kijana anatukanwa na demu alafu anamuacha kisa anaogopa polisiπŸ˜€πŸ˜€

Wanawake na binadamu Kwa ujumla ukiwaonyeshea mfano Kwa mtu mmoja wengine wote wanakuelewa.

Huyo kamdekeza Dadaake tangu wakiwa wadogo sasa hivi hawezi mwambia kitu.

Ilipaswa afanye tukio ambalo mpaka dada na wadogo zake wajue Kaka yetu mkorofi.

Kaka ukiwa mkorofi ya mbabe hata Kama huna pesa heshima inakuja automatically.

Watakudharua lakini Kwa kujificha Sana bila ya wewe kuwepo

Kwenye maisha huwezi leta Dharau Kwa watu hawa;

1. Mbabe na mkorofi
2. Mwenye pesa na hapa nazungumzia Tajiri.
3. Mchawi mahiri wa level za juu.
4. Mtumishi wa Mungu aliyehai.

Watakudharau Kwa kujifichaπŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu kuna majitu mnashauri u qummer, heshima ifuate mkondo, kuleta ushauri si tiketi ya kushauri us4ng3 us3ng e hapa. Tuheshimiane tafadhali.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu huyo dada yako ana msambwanda mkubwa?
Kama anao basi itakua ni ngumu kumshauri akakuelewa kwa kipindi hiki, maana kila akatizapo masela wanamsifia, na mgema akishasifiwa sana lazima tembo alitie maji.
 
Soma uzi tena. Mimi nina kwangu ila mdogo wangu anaishi kwa wazazi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kama anaishi kwa wazaz jaribu pia kuongea na wazaz..sababu mwisho wa siku huyo atarudisha matatizo nyumban…na ww kama kaka utahusika kuyabeba hata kama hutak ! Kama anataka kufanya mambo yake muekeane mkatab wa maneno kikibuma huko kila mtu ale urefu wa kamba yake!
Nawasilisha
 
Umemzidi miaka 6?
Chukua fimbo ya mwanzi, mwambie alale chini umtandike kisawa sawa. Halafu mshitaki kwa wazazi.
 
Umeongea fumbo, sijaelewa kosa langu lipo wapi!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Ndugu wa kiafrica wengi hawa bebeki , wewe ukimsaidia yeye Anaona Kama Ni haki yake na sio msaada as inavyopaswa kuwa, ndio maana Ni rahisi kukudharau na kuku disrespect hata Kama ulijitoa kwake kiasi gani cuz wewe kujitoa kwake ana hesabu kuwa Ni haki yake na sio msaada
 
umeshafanya part yako, sasahivi kilichobaki wewe muombee tu, ila mkaushie, usimfatilie wala nini, sasahivi ndio yupo kwenye ile stage ya kupenda bad boys siku si nyingi atalizwa, akishalizwa mara 5 - 20 hivi utamuoa mwenyewe anabadilika. Atatulia aanze kujua kua alikua anazingua, anaweza asikuombe msamaha milele lakini hii moment itakua inamuumiza sana akili zake zikishakaa sawa.


Sasa ni kheri akili zenyewe ziwepo
 
20yrs ni binti mkubwa I hope ulikosea approach na huyo kashajua kuukali kwa sasa hivi ulipaswa uende nae taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…