Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

Daaah! Jamaa kila quote lazima ushushe nondo
 
Nimegundua saabu ya kukutukana tena unastahili matusi!!...nakuhakikishia atakutukana mpaka uliepooo!! km tabia yako iko hivi tu!......na ukizidi atakutafutia wahuni wafanye yao....subiri!
Daaah
 
sasa huyu ni beki 3, embu fikiria mtoto wako wakike ndio inakukuta uko kwenye io situation
 
sasa huyu ni beki 3, embu fikiria mtoto wako wakike ndio inakukuta uko kwenye io situation
Now days vibinti vinaanza mahusiano vikiwa vidogo Sana , mbaya zaidi generation ya kuanzia miaka ya 2000 hapo imekuwa inawahi kuwa na mabadiliko ya kimwili waweza kukutana na Binti mwili wake nimkubwa as if ana miaka 20 kumbe ndio kwanza ana miaka 16 ,,

Niliwahi kuwa ktk mahusiano na Binti wa miaka 15 pasipo Mimi kujua umri wake kutokana na mwili wake kuwa mkubwa bad enough at that Age nilimkuta akiwa Hana Bikira , Imagine
 
WanaJF mtafika mbinguni mnachechemea wallah!
Mmemtibua mleta mada nae katibuka hadi kapigwa ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hajala ban kaenda kujisaidia atarudi, ana tumbo!
 
aisee inasikitisha sana, Mungu atufanyie wepesi tu
 
Achana naye, ngoja dunia itamfunza japo maumivu yatarudi kwenye familia.

Hausegeli wako simpo tu tena wengi wanajua maisha, mtupie elfu kumi mwambie tuacheni na huyu hajitambui
 
Mkuu matusi umejitakia huyo ni mtu mzima kabisa anawashwa kabisa.
 
Yaani hata kama ni ndugu zako wa damu??
Ndio maana yake , abaki kuwa ndugu yako shirikiana nae pale kwenye umuhimu wa kufanya hivyo Mtu anaweza akawa ndugu yako lakini asiwe rafiki yako, Haujawahi kusikia ndugu wakitendeana ubaya wao kwa wao ,

Binaadamu hapaswi kujua undani wako kivile kwa sababu huwa Ni chanzo Cha kuvunjiana heshima,

Kwa mfano Rafiki zako /ndugu/ jamaa wanao kuzunguka wanaweza kuwa wana kuheshimu Sana kwa kuwa Wana kuona una financial status kubwa ,, lakini kumbe ndani yake una madeni kibao na sometimes inaweza tokea mchana ukaupitisha bila kula ,, inapo tokea baadhi yao wakaujua undani wako wataanza kukudharau na kukuona kuwa hauna hela matokeo yake ndio hayo siku ikitokea mkigombana ana kutemea shits
 
Usimfanye chochote mchunie kwenye kila jambo, no zake futa hata ukikutana nae njiani pita kimya.kuna siku atatambua kuwa wewe ni kaka yake aje akuombe msamaha.
Sasa akisusa si ndio ata prove kuwa ana tabia za kike?.

Huyu itakuwa alianza kunung'unika huku akimbembeleza mdogo wake asome. Ilitakiwa atoe kauli moja tu ya kimamlaka

"Dogo soma acha use***e" alafu anaendelea na mambo yake asitake maelezo wala utetezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…