Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakuna guarantee. Yesu mwenyewe Alikuwa haponyi kila mtu. Tena ratiba na njia zake hazichunguziki. Kwenu walokole ni rahisi tu kusema hivi lakini mtu akimpokea Yesu kwa lengo la kuponywa magonjwa yake na asiponywe, ndiyo mwanzo wa kuwa disillusioned.Wakimpokea Yesu wao wenyewe watapona kabisa.
Toeni ushauri na miongozo sahihi iliyosimama katika misingi sahihi ya uponyaji wa Kibiblia. Hii ya mpokeeni Yesu na mtapona magonjwa yenu inaweza kuishia kwenye disillusionment na hata kupotea mazima!
➡️➡️➡️ Na usipopona eti imani yako ni haba; hivyo jilaumu mwenyewe!