Yaani unavyosema kichwa nilianza kuumwa mwaka 2004 nikaja kupona mwaka 2011,Mungu huyu acheni tu, yaan fikiria unakwenda hospital mpaka wafanyakazi, madoctor wanakufaham huku wanakushauri jaribu hospital nyingine.
Kwa hospital, zahanati, za dar nilizokwenda,kimara, ubungo, mwenge, magomen, temeke, mwananyamala, Kairuki, regency hizo baadhi ni nilitoka patupu.
Mimi kuna muda nasema kama dawa zina madhara basi mm ningepata, maana nilikuwa nameza dawa za maumivu kila siku miaka yote
Ila sasa hivi nakaa hata miaka2 hospital huijui, Mungu acheni aitwe Mungu