Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Aisee,kweli ww ni LOYA

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona vitisho kama vya kihaya vile?

mpuuz tu anamtisha wakat mdogo wake ashakuwa over 18, eti ni lawyer atanifunga kwa kigezo kipi..watu wanadate hadi na mtoto wa mkuu wa kaya sembuse yeye anayenitisha na ka diploma ka law kutoka Tumaini university..wivu wa mapenz unamsumbua hadi kwa dada yake..
 
mmmmmh mkuu mbona vitisho au wivu? mtu anafanya kazi tayari yeye hajui cha kufanya? kama ana umri mdogo wewe kama mwanasheria una maanisha miaka mingapi? she is under 18? kama ni zaidi ya hapo mtu mzima huyo! kwani mdogo wako bikira? kama sio kwa nini ukomalie huyu? au kwa vile amekuja kukwambia? observation yako nzuri lakini waacha watu wazima wafikie maamuzi wenyewe? hayo ya kuoa ni matokeo? umesema wewe ni mtu wa church nadhani cha msingi ungeingia kwenye maombi ingelifanya kazi zaidi kuliko mkwara wako wa lawyer? I wonder uanasheria unakujaje hapa? kwani kambaka?
 

Ongea na mdogo wako, acha kumfuatilia mtu usiyemjua.

Unaweza kutaka kutandika zulia dunia nzima ili mguu wako usiguse chini.

Au unaweza kuvaa viatu tu.
 

hahahahaha mwanangu wahenga walisema mla cha wenziwe na chake huliwa.naona imekua mkuki kwangurue. Unaowamegea pia wanao makaka vilevile.roho inaumaga kumbe?
 
Ndio mkuu she is 17 aliwahi tu kuanza shule na amesoma ughaibuni, vilevile alikua anarushwa madarasa coz alikua na uwezo sana class.

mwongo huyo sasa kama ni 17 taratibu gani tena unataka zifuatwe ili unikabithi mke wakati nawe unajua ni bado mdogo..mbna unajichanganya
 

Wenzio bangi wanavutiaga chini ya mti wa muarobaini, wewe unavutia chooni, ndio madhara yenyewe haya!

Dogo ana miaka 17, nxt year march ndio anafikisha 18, huyo jamaa kama anampenda hatoshindwa kuvumilia hadi march.
 
]Dogo nimeshampa vyake mkuu.
[/COLOR]
Na sasa ni zamu ya huyu bwana, halafu sio kwamba simfahamu, nina business card yake hapa.

Hilo ndio la msingi ulilofanya,huu uzi hautakusaidia chochote hata kama huyo kijana yumo humu.
Kuwa na business card yake pia si tija,unaweza ukajua mtaa na nyumba anayokaa na akammega dogo akasepa vile vile,ndoa hailazimishwi kaka kama ipo ipo tu!!
 
Shemeji nasema hivi; shake well before use! Kwa hiyo unataka kuleta vya uloya wako kwenye ishu za malovee? Nina wadogo zangu wanne wa kike hata wakiniambia siri zao kwa kuniamini sitozipeleka kwenye social network yoyote, naapa ee Mungu nisaidie.
 
unajua kajiandaa andaaje huyo jamaa wa cba?
 
mwongo huyo sasa kama ni 17 taratibu gani tena unataka zifuatwe ili unikabithi mke wakati nawe unajua ni bado mdogo..mbna unajichanganya


Anakuja kujitambulisha tu thn anasubiri mpk nxt year march dogo atakua na 18.

Kama anampenda atasubiri.
 
hahahahaha mwanangu wahenga walisema mla cha wenziwe na chake huliwa.naona imekua mkuki kwangurue. Unaowamegea pia wanao makaka vilevile.roho inaumaga kumbe?

Mkuu najua unamaanisha nn ila ngoja ninyamaze tu nisije nikazua mjadala mwingine.
 
Ndio mkuu she is 17 aliwahi tu kuanza shule na amesoma ughaibuni, vilevile alikua anarushwa madarasa coz alikua na uwezo sana class.

Age ain't nothing...just a number. Keshaiva wa kuliwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…