Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana biti mbuzi utafikiri mdogo wake kabakwa kumbe ataipeleka mwenye ki-roho safi!
Na kweli ushukuru Mungu huyo ana kazi. Maana watoto wa mbwa wangechuna +++ sasa we acha muvi iendelee. Kua mpole kama unanyolewa.
Mtoto wa kike hachungwi. Na tena tulia atakupa majina mengne na kadi zingine. Ukipaniki hutojua hata mmoja.
Lengo la kukomenti hapa ni kukuomba umwambie mdogo wako aniunganishie kazi embassy maana nimehangaika sana.
Ahsante.
W.
wanne(4)?? kuna ka hedeki kidogo hapo eeh!Shemeji nasema hivi; shake well before use! Kwa hiyo unataka kuleta vya uloya wako kwenye ishu za malovee? Nina wadogo zangu wanne wa kike hata wakiniambia siri zao kwa kuniamini sitozipeleka kwenye social network yoyote, naapa ee Mungu nisaidie.
Wenzio bangi wanavutiaga chini ya mti wa muarobaini, wewe unavutia chooni, ndio madhara yenyewe haya!
Dogo ana miaka 17, nxt year march ndio anafikisha 18, huyo jamaa kama anampenda hatoshindwa kuvumilia hadi march.
Wewe hukumega wa wenzako kila demu ulikuwa una fata taratibu?
Naomba nikupe kisa kimoja kwa kifupi.
Kuna mdogo wangu wa kike niliishi nae nyumbani kabla sijaondoka. Nlikua namlinda acha.
Kuna siku nlikaa kijiweni jamaa mmoja akawa anammendea n bad enough akawa ananijibu shit. Nlimpiga mno mpaka nkajiskia vibaya. Mtaa mzima ukaanza muogopa dogo.
Baada ya mwaka nishaondoka nikapewa habari dogo katoroka kaenda kwa mwanaume.
Ninapokwambia kua mpole elewa. We toa ushauri kwake na kila kitu mwachie yeye.
Turudi kwenye kazi. Vipi?
AC Si kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa kaka. What if huyo mkaka unayemtisha si husband material? Huoni mdogo wako utakuwa umemuingiza chaka?!
Halafu kingine kabla mtu hajatangaza ndoa kuna kktu kinaitwa'courtship.' Iweje nikutane na demu jana club leo nije kujitambulisha kwenu?! Kisa kanipenda seriously!!!!
We ken.ge maji hukulazimishwa kucomment humu hebu peleka usenge.rema wako huko!
Hahaaaaa!!
Pole kaka.
Una wivu wa hatari sana,huyu dada tu hivi je kwa mwandani wako??
Ongea na dada yako tu akikuelewa kila kitu kitaenda sawa,hata akiamua kufanya awe well informed!!!