nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,203
- 563
Kumwonea wivu ni dalili za kutaka kumfaidi. Kumbuka hata wewe unawafaidi dada wa wenzio. Kwa nini mkuki uwe mtamu kwa nguruwe? Kila kaka akiwa kama wewe je, utakubali kuwa bikra kama mimi? Lakini dada yako kiboko, kumwona mwanaume mara moja ccm juu!!!Uko sahihi
Kisheria tunaiita "prohibited relationship"....
Sasa kwani mm nimesema nataka kumgegeda mdg wangu?