Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Nimesoma kwamba mdogo wako kakutana na jamaa jana na yeye mdogo wako kampenda/amevutiwa ( amemuelewa kwa maelezo yako) wewe unataka afuate taratibu. Sasa ndo nikasema watu hawawezi kukutana siku moja waanze kutambulushana lazima wenyewe wafahamiane (sina maana ya kimahaba) na ndio hata nikakwambia kama dada anajielewa atakuwa na mipaka yake katika huo urafiki/uhusiano.
Au we unaposema afuate utaratibu una maana gani?

Umri wa dogo mbona mnausahau mkuu?
 
Pole sana kama kaka inauma sana,ukijua watu wanajilia dada ako bila malengo..umri ndo huo foolish age hyo huez mzuia,we mwache tu apate xprience..ila umwambie a-play safe!
 
Umri wa dogo mbona mnausahau mkuu?

Kawaulize kwanza wazazi wake kuwa ana umri gani then uende 'ubalozini' pia uwahoji kwanin wanaajiri underage then ukipata jibu muulize huyo mtoto why anadate? Afu rudi humu JF
 
Ndio mkuu she is 17 aliwahi tu kuanza shule na amesoma ughaibuni, vilevile alikua anarushwa madarasa coz alikua na uwezo sana class.

Huo ulawyer wako ungeanzia kwa muajiri wake alioajiri mtoto wa miaka 17 kama zaidi ya hapo utakua muongo tu huyo ni zaidi ya miaka 18 ndio maana kaajiriwa mikwala yako haisaidii wakati huu ambao washatoa bikira kitambo na hakuja kukwambia
 
Umeona eeh? Eti Amicus Curiae anasema ana 17 while anafanya kazi tena 'ubalozi fulani'!

Kuna ubalozi wa nchi gani unaoweza kuajiri underage? Lawyer kwa mikwara bhana...!


Jamani hebu tuwekane sawa hapa.

In law, not mechanics, kuna mtu tunamuita 'minor', huyu ni mtoto either ME au KE, ambaye hajafika umri wa miaka 18.

The law pressumes that huyu mtoto hana free consent when it comes to a contract, hata ukimtongoza akakubali bado sheria itakufakisha.

On the other hand, kuna tofauti kati ya sheria na sera.

Hizi embassy zina sera ya ajira, subiri nikuwekee link hapa uone kama umri ni tatizo especially kwenye kada anayofanyia dogo.

Wait kdg....
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kama kaka inauma sana,ukijua watu wanajilia dada ako bila malengo..umri ndo huo foolish age hyo huez mzuia,we mwache tu apate xprience.ila umwambie a-play safe!

Dada charty kwann mtoto ameajiriwa 'ubalozi'?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuthibitisha bila kuacha shaka kwamba malaysia airline ilizamia baharini?

Au tupe source ambayo ni reliable.

kwani nani kasema ilizamia baharini kuna sehemu hapo nimeandika ilizamia baharini???
 
pole sana mwana sheria nazan ulir mioa sio ulie muanza dada yako ni bikra na km sio bikra je alikuambia na alie mtafuna?potea uko
 
Pole sana kama kaka inauma sana,ukijua watu wanajilia dada ako bila malengo..umri ndo huo foolish age hyo huez mzuia,we mwache tu apate xprience..ila umwambie a-play safe!

kwani ni bikra
 
Dada charty kwann mtoto ameajiriwa 'ubalozi'?

Link inakuja mkuu

Hii embassy utaona walivoainisha age kwenye sera yao ya ajira

Wanataja kiwango cha elimu, then wanapambanisha qualifications na perfomance wkt wa intern.

Unaweza ukawa na miaka 22 na bado wasikuchukue kama perfomance yako ni poor.

Ila umri ni kuanzia miaka hiyo 17.

Wait kdg mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Ni mtoto wa baba yangu mdogo, anafanya kazi kwenye Embassy fulani (jina la Embassy kapuni), ila ana umri mdg bado na ni mlimbwende sana!

Sasa nimetoka zangu church muda si mrefu, baada ya kupata breakfast nikawa nashushia na ka-juice baridiii!

Nikaanza kumuona ananisogelea, mara ooh kaka nikudokeze jambo? nikamwambia go ahead. Amenizoea ndio, ila leo naona kama kavuka mipaka!

Akaanza ooh kaka jana nilikua Igoz Lounge, kuna mkaka alikua pembeni yetu nikamuelewa sana!!! Nikamuuliza anaposema anamuelewa anamaanisha nini?

Akasema amempenda! nikapigwa na butwaa! Akaendelea kusema eti amempendea perfume aliyokua amepulizia na ana uso wa upole!

Sasa to cut the long story short, we jamaa uliyekutana na mdg wangu jana, kama umo humu naomba uwe mstaarabu, kama umempenda kweli fuata taratibu. Ndio mdg wangu ameshakua mtu mzima lkn sipendi achezewe ktk umri mdg huu, she has a long way to go.

Unafanya kazi CBA, umemuachia business card, ulimkuta dogo na rafiki zake wanakunywa peroni ukataka kuwaagizia wakashukuru tu hawakukubali.

Mimi ni lawyer sasa kama unataka kupotezwa upuuzie haya maneno yangu, nimeshatoa 'disclaimer', jina lako ninalo hapa kwenye hii business card yako, sawa umependwa lkn uje nyumbani ufate taratibu tukupe mke, nimefunguka makusudi kwamba dogo kakupenda ingawa hakukwambia, coz nikificha huenda madhara yakawa makubwa zaidi.

Hata kama haumo humu naomba uzi huu uwe fundisho kwa wengine.

A.C

Acha wamgegede hata wewe uliharibu wadada wa wenzio, hafu kuwa lawyer siyo ishu as lo as dada yako anazaidi ya 18 jamaa atagonga na ukijifanya mbishi atakutwanga na dada yako atakudharau.
 
Back
Top Bottom