masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
kuna wadada
BABA NI MJESHI
MAMA NI POLICE
UNCLE ASKARI MAGEREZA
KAKA NI JUDGE
DADA NI USALAMA WA TAIFA
AUNTIE NI MKUBWA WA JESHI LA ANGA
BABA MDOGO NI KIKOSI MAALUM JESHINI
lakini akijilengesha anachezewa anachwa na kijana anaendelea kuwa mtaani mwenye afya tele
hili jiji kila mtu ana yake kichwani wengine wanataka starehe tu tena ndo kama kila mtu alikua bwiii???
muombee dogo HUNA CHA KUFANYA KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA