Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mdogo wangu wa kike kanieleza maneno haya...huku tunakoelekea siko!

Mtafute huyo jamaa face to face umweleze itakua poa sana kama kweli hutaki Dada ako achezewe.
 
Kijana mwenyewe ni Gogle kijana aliyetahiriwa juzi juzi huyo ndio shemeji yako

Aisee kwa hali hii kuna ulazima wa kwenda pale 'Tanganyika arms' kutafuta kale kadude kanakofanana na mguu wa kuku...
 
Last edited by a moderator:
Ennie yani umeharibu sehemu moja tu ulipotumia msamiati huu #akammega !

Hadi mapigo ya moyo yamebadilika!

Hahaaaaa!!
Pole kaka.
Una wivu wa hatari sana,huyu dada tu hivi je kwa mwandani wako??
Ongea na dada yako tu akikuelewa kila kitu kitaenda sawa,hata akiamua kufanya awe well informed!!!
 
Mapenzi ya dadako bwana usiingilie...mtu mzima huyo. Kama ameajiriwa basi anajua nini anataka, you only need to advise her who to be careful.

Kwani amebakwa?

Huyu bado mdg MadameX, anafikisha miaka 18 nxt yr march
 
Last edited by a moderator:
hahaaa mkuu shemeji dada yako nitamtafuna na kwenu siji kufuata taratibu
 
Si ungechukua hiyo business card ukampigia umuonye?

Acha mikwara
 
Na kweli ushukuru Mungu huyo ana kazi. Maana watoto wa mbwa wangechuna +++ sasa we acha muvi iendelee. Kua mpole kama unanyolewa.

Mtoto wa kike hachungwi. Na tena tulia atakupa majina mengne na kadi zingine. Ukipaniki hutojua hata mmoja.

Lengo la kukomenti hapa ni kukuomba umwambie mdogo wako aniunganishie kazi embassy maana nimehangaika sana.

Ahsante.

W.

Hapo kwenye kuunganishiana kazi ndio umezungumza jambo la maana...
 
Shemeji nasema hivi; shake well before use! Kwa hiyo unataka kuleta vya uloya wako kwenye ishu za malovee? Nina wadogo zangu wanne wa kike hata wakiniambia siri zao kwa kuniamini sitozipeleka kwenye social network yoyote, naapa ee Mungu nisaidie.
wanne(4)?? kuna ka hedeki kidogo hapo eeh!
 
Wenzio bangi wanavutiaga chini ya mti wa muarobaini, wewe unavutia chooni, ndio madhara yenyewe haya!

Dogo ana miaka 17, nxt year march ndio anafikisha 18, huyo jamaa kama anampenda hatoshindwa kuvumilia hadi march.

AC Si kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa kaka. What if huyo mkaka unayemtisha si husband material? Huoni mdogo wako utakuwa umemuingiza chaka?!
Halafu kingine kabla mtu hajatangaza ndoa kuna kktu kinaitwa'courtship.' Iweje nikutane na demu jana club leo nije kujitambulisha kwenu?! Kisa kanipenda seriously!!!!
 
Naomba nikupe kisa kimoja kwa kifupi.

Kuna mdogo wangu wa kike niliishi nae nyumbani kabla sijaondoka. Nlikua namlinda acha.

Kuna siku nlikaa kijiweni jamaa mmoja akawa anammendea n bad enough akawa ananijibu shit. Nlimpiga mno mpaka nkajiskia vibaya. Mtaa mzima ukaanza muogopa dogo.

Baada ya mwaka nishaondoka nikapewa habari dogo katoroka kaenda kwa mwanaume.

Ninapokwambia kua mpole elewa. We toa ushauri kwake na kila kitu mwachie yeye.

Turudi kwenye kazi. Vipi?
 
Kuwa mpole, dada ako ashavua nyingi sana, yeye ndo amependa sio wewe, mkaushie
 
kwani unadhani anataka kumbaka au watakubaliana!
 
Naomba nikupe kisa kimoja kwa kifupi.

Kuna mdogo wangu wa kike niliishi nae nyumbani kabla sijaondoka. Nlikua namlinda acha.

Kuna siku nlikaa kijiweni jamaa mmoja akawa anammendea n bad enough akawa ananijibu shit. Nlimpiga mno mpaka nkajiskia vibaya. Mtaa mzima ukaanza muogopa dogo.

Baada ya mwaka nishaondoka nikapewa habari dogo katoroka kaenda kwa mwanaume.

Ninapokwambia kua mpole elewa. We toa ushauri kwake na kila kitu mwachie yeye.

Turudi kwenye kazi. Vipi?

Una kiwango gn cha elimu na umesomea nini? tuanzie hapa kwanza...
 
AC Si kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa kaka. What if huyo mkaka unayemtisha si husband material? Huoni mdogo wako utakuwa umemuingiza chaka?!
Halafu kingine kabla mtu hajatangaza ndoa kuna kktu kinaitwa'courtship.' Iweje nikutane na demu jana club leo nije kujitambulisha kwenu?! Kisa kanipenda seriously!!!!

Nayafahamu yote haya yako kwenye Family law, ila unadhan yote yaliyoainishwa kwenye sheria yanatekelezeka kweli?

Stop being blind my friend!
 
We ken.ge maji hukulazimishwa kucomment humu hebu peleka usenge.rema wako huko!

Kabla sijazama kwenye comment naomba ku declare interest na hilo jina ulilotumia kama tusi, sio uungwana hata kidogo kugeuza jina la orgin yangu kama tusi sitakubari muendelee kulitumia hivyo coz linamaana nzuri ya asili sio kunyambua tusi kwa kutumia wilaya yangu.

Naunga mkono tahadhari uliyompa huyo bazazi aliyependwa na mdogo wako pia usisahau kumjenga sister kuhusu kujitunza mpaka siku ya ndoa asichanue miguu kihasara hasara watampiga tobo!
 
We hujawahi kuchezea dada za watu?
Mla huliwa....thats a formula.
Halafu mbona umechelewa....kashachezewa sana....kama unabisha mpime bikr......!
 
Hahaaaaa!!
Pole kaka.
Una wivu wa hatari sana,huyu dada tu hivi je kwa mwandani wako??
Ongea na dada yako tu akikuelewa kila kitu kitaenda sawa,hata akiamua kufanya awe well informed!!!

Hapa tunaenda sawa sasa...
 
Back
Top Bottom